Achia goli mwanamke kujiamini

Achia goli mwanamke kujiamini

Nyakati hizi si nyakati za kupotezeana muda....hizi ni nyakati za kukimbizana na mida....mambo ya kuzungushana yameshapitwa na wakati...weka dau lako nijipime uwezo wangu kama nalimudu tuanze kupiga show kama siliwezi nichape lapa....
 
hayo ndio maneno,safi kabisa
 
Siku hizi kupata mwanamke siyo jambo la kulalamika sana. Ni wewe tu, wala hawana shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom