Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
- Thread starter
- #41
we nibip alafu ukijisahau usipige!!! napiga kabisa walah hii chance sio ya kuchezea hata kidogo
Aya kwa hoja sikuwezi nakujua wewee!
we nibip alafu ukijisahau usipige!!! napiga kabisa walah hii chance sio ya kuchezea hata kidogo
Aya kwa hoja sikuwezi nakujua wewee!
nimeipenda hiyo 'unanijua' kweli nyota njema huonekana asubuhi
Tuongee PM
ndio wapi huko?
Hahahahahaaa c unaona unaanza kuzingua!
Aya kwa hoja sikuwezi nakujua wewee!
Huyu mtu nami ka namjua hivi, mi namaanisha. Yaani KAMA 'NAMJUA' kweli.kuna Id fulani ilikuwaga bize, siku hizi iko dormant kidogo, ila kimchango na kimawazo ka wanafanana vile.
si nimekupigia baby ukagoma kupokea, duuhh! kweli hili fungu la kukosa
Hahahahaaa aya bhana umenifurahisha sana. Kesho nitapokea usjar!
Huyu mtu nami ka namjua hivi, mi namaanisha. Yaani KAMA 'NAMJUA' kweli.kuna Id fulani ilikuwaga bize, siku hizi iko dormant kidogo, ila kimchango na kimawazo ka wanafanana vile.
waaaoohh!! furaha yako ndio furaha yangu, nafurahi ukifurahi, mmmwaaaaaa!
sema haki ya mungu!!!!
hizo ni fununu tu in young d's voice!!!
Mmmmmh ya kweli haya atoto? Au propaganda.
Yaani ndo unazidisha kufanana unapozidi ku-comment. Anyway, wanasema duniani wawili wawili.
propaganda kwani mie le profeseri le muchina???
thats pure from the iner most of ma heart!
jamani ukute ni pacha wangu baba alicheza faulo!! hebu niume sikio ni nani huyo nimfind
Hahahaaa aya bhana atoto!!
mmmh!!! mbona umeitikia kwa unyonge sana baba? plzz usiwe mnyonge bwana, i wont get a sleep u know!
Hakuna unyonge atoto full shangwe kesho nitafute plz"