Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa hivi, ni idadi kubwa sana lakini cha kusikitisha ni kuwa wengi wao ni wageni ambao wanakosa nafasi ya kuchangia na kutoa mawazo kwa kuwa wao si wanachama. Jamani natoa wito; Wageni wote (non members) jiungeni na JF, ni bure na michango si lazima!What's Going On?Currently Active Users: 2219 (381 members and 1838 guests) Most users ever online was 2,881, 25th November 2008 at 05:38 PM.https://www.jamiiforums.com/members/zkassiba.html
Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa hivi, ni idadi kubwa sana lakini cha kusikitisha ni kuwa wengi wao ni wageni ambao wanakosa nafasi ya kuchangia na kutoa mawazo kwa kuwa wao si wanachama. Jamani natoa wito; Wageni wote (non members) jiungeni na JF, ni bure na michango si lazima!
Ushauri wangu ni kuwa waache woga, wajiunge na JF

ahsante sana hapa ndipo nilipokuwa napataka , mimi shida yangu ni sijui how to changia hoja mpya nataka sana kutoa mada ila sijui nifanyaje pengine na wengine wanatatizika kama mimi iliyobaki nikuchangia tu hoja. tufahamisheni .