Acheni woga: Jiungeni na JF!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
What's Going On? Currently Active Users: 2219 (381 members and 1838 guests) Most users ever online was 2,881, 25th November 2008 at 05:38 PM.https://www.jamiiforums.com/members/zkassiba.html
Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa hivi, ni idadi kubwa sana lakini cha kusikitisha ni kuwa wengi wao ni wageni ambao wanakosa nafasi ya kuchangia na kutoa mawazo kwa kuwa wao si wanachama. Jamani natoa wito; Wageni wote (non members) jiungeni na JF, ni bure na michango si lazima!

Ushauri wangu ni kuwa waache woga, wajiunge na JF
 
Waje watuchangie pia,mkulu Maxence kasema jahazi linazama.siyo kutia mguu na pua tu lakini tuhakikishe hili jamvi linakuwepo leo,kesho na keshokutwa.

Jamani members 381 tukitoa elfu 10,000/= kwa mwezi kila mmoja ni shilingi 3,810,000. JF ingekuwa inapaa kama ndege ya uchumi ya EL.
 
Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa hivi, ni idadi kubwa sana lakini cha kusikitisha ni kuwa wengi wao ni wageni ambao wanakosa nafasi ya kuchangia na kutoa mawazo kwa kuwa wao si wanachama. Jamani natoa wito; Wageni wote (non members) jiungeni na JF, ni bure na michango si lazima!

Ushauri wangu ni kuwa waache woga, wajiunge na JF

Watanzania sisi ni waoga na wanafki sana. Maendeleo na taratibu zote za kutaka nchi iendelee tunazipenda ila sasa inapofika kwenye kusimama mbele ya watu na kuongea ukweli tunashindwa sijui ama ni kuogopa ila sasa wakishaingia wengine ndio tunajidai kuchungulia wanasema nini. MIMI KIUKWELI NAWAPONGEZA MEMBERS WOTE WA JF KWA KUWEZA KUJITOA KUTETEA MASLAHI YA NCHI YETU BILA YA KUJALI NANI YUPOJE NA ANA MADARAKA GANI KATIKA NCHI. UZURI NI KWAMBA TUNAONGEA UKWELI KWAAJILI YA MAENDELEO YETU, WATOTO WETU NA VIZAZI VIJAVYOO

Sasa napenda tuu kusisitiza kujiunga JF hakuna haja ya Visa Card bali ni utashi na hoja zako za msingi ndio zinatakiwa.

WATANZANIA KARIBUNI JF
 
Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa hivi, ni idadi kubwa sana lakini cha kusikitisha ni kuwa wengi wao ni wageni ambao wanakosa nafasi ya kuchangia na kutoa mawazo kwa kuwa wao si wanachama. Jamani natoa wito; Wageni wote (non members) jiungeni na JF, ni bure na michango si lazima!

Ushauri wangu ni kuwa waache woga, wajiunge na JF

Watu wengine wana 'log on' wakati wanapochangia hoja tu.
 
ahsante sana hapa ndipo nilipokuwa napataka , mimi shida yangu ni sijui how to changia hoja mpya nataka sana kutoa mada ila sijui nifanyaje pengine na wengine wanatatizika kama mimi iliyobaki nikuchangia tu hoja. tufahamisheni .
 
Unajuaje kama hao walio katika mode ya "Guest" si wanachama ambao hawaja lo on kwa muda huo tu? Kama alivyosema Cynic hapo juu, watu wengine wana log in pale kwenye instance ya kupost tu, hawa opt kuwa logged in throughout.
 
Mkuu Ibrah,

Nafikiri kujiunga tu hakutoshi.....tuhamasishe watu wajiunge na wachangie kwa mali JF, ili tuzidi kufurahia haya tunayoyafurahia sasa!
 
ahsante sana hapa ndipo nilipokuwa napataka , mimi shida yangu ni sijui how to changia hoja mpya nataka sana kutoa mada ila sijui nifanyaje pengine na wengine wanatatizika kama mimi iliyobaki nikuchangia tu hoja. tufahamisheni .
Gonga hapa,
General Forum Usage

Hiyo inapatikana kwenye FAQ menu pale juu kabisa.
 
Wanaogopa siku watu wa JF wakikamatwa nao watakua ndani..... Kidding.
Jiungeni bana.... mbona mnakua hivo!!
 
Back
Top Bottom