Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,498
ha ha ha ha badilikeni...Tumekusikia
ha ha ha haSawa
Siku nyingine mwambie Njoo nauli utaikuta huku akitaa akisema hana kabisa mwambie upo wapi nikufuate
Hii njia Wale matapeli wa badoo lazima waku block waingie mitini
kwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
Tutabadilika....ila pole ushapigwa hiyoha ha ha ha badilikeni...
ha ha ha ha inafurahisha sanaSiku nyingine mwambie Njoo nauli utaikuta huku akitaa akisema hana kabisa mwambie upo wapi nikufuate
Hii njia Wale matapeli wa badoo lazima waku block waingie mitini
Ni kweli mkuu....Ndio umesha cheza 3mzuka hivyo tayari
Nisingeweza kwa sababu safari alitakiwa aanze kesho yake baada ya kupata naulikwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
ha ha ha ha sawa mkuuTutabadilika....ila pole ushapigwa hiyo
ha ha ha mkuu we acha tu,ni mtu wangu wa muda mrefu,nilijua atakuja tu.Bado tu kuna kenge zinapigwa hela za nauli
Ukome!!Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.