acha zako kama ni kumsaidia ww piga simu zile wizara inasema hayo ya mtu binafsi mwachie mwenyewe akiamka au akifa basi utaratibu utafanyika si ww kurahishisha wizi kwa wadau, maana ww unaweza kuwa kweli unataka kutoa msaada ila kuna wengine watatumia mwanya huo kuibia wagonjwa na kufanya uhalifuMtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
kama kutoa msaada chomoa line ila kama kuiba simu tafuteni mbinu nyingneMtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Sasa hata wizara itawasiliana vipi na ndugu wakati simu ina password?acha zako kama ni kumsaidia ww piga simu zile wizara inasema hayo ya mtu binafsi mwachie mwenyewe akiamka au akifa basi utaratibu utafanyika si ww kurahishisha wizi kwa wadau, maana ww unaweza kuwa kweli unataka kutoa msaada ila kuna wengine watatumia mwanya huo kuibia wagonjwa na kufanya uhalifu
kama kutoa msaada chomoa line ila kama kuiba simu tafuteni mbinu nyingne
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unaogopa tukiona video?Password ni kwa usalama wa cm kwa ujumla.
Kudondoka na corona hiyo ni mipango ya MUNGU tu.
#tujikingekoronainaua
Mkuu hilo jina lako lina maana kubwa sana aisee. Ni mwenyeji wa huko?kama kutoa msaada chomoa line ila kama kuiba simu tafuteni mbinu nyingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Uliona wapi mtunanahangaika na simu ya mtu enzi hizi za CEO & Founder, COMtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Hapana.huwa sina videos na pic za ovyo kwa cm yangu.mkuu unaogopa tukiona video?
nasikia corona unakata pumzi ghafla.....toba yarabi tunusurus sisi waja wako.Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha