Acheni kutumia vitunguu saumu kama dawa ya kukata harufu mdomoni pigeni mswaki

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,815
32,195
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana.

Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi vinaleta hathari kubwa kwa upande wa jasho ndio maana baadhi ya watu unakuta wananuka vitunguu swahumu mda wote au ana kuwa na jasho baya.

Bado nasisitiza kutumia mtindi sana kwakukata harufu ya jasho baya usafi wa mwili muhimu sana kuwa smart kwa binadamu ni kipaumbele.
 
Unazipenda "h" hadi basi.Tutumihe kitu gani mkuhu?
 
Aroo unafanya kazi gani mpaka unaweza kunusa midomo na jasho la watu?
 
Aroo unafanya kazi gani mpaka unaweza kunusa midomo na jasho la watu?
Mkuu harufu ya mtu una hisi na sio swala la kusema unamchunguza mtu wewe uwezi kujijua kama unajasho baya ila jirani yako anaweja jua kwasababu ile harufu anaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…