Yn nioe single mother kisa ana uhakika wa kuzaa, huu ujinga hua mnautoa wapi kichwani mwenu?Upe ubongo nafasi ya kuwaza mengine!!kwanini kujipa stress kwa viungo ambavyo hata hauvimiliki!!
Huko mbeleni tutaoa sana single mothers coz tayari wanna uhakika wa kukupatia mtoto kuliko Hawa fresh waliotumia vidonge kuzuia mimba na wakati wanataka hizo mimba hazipatikani tena!!
Lipo janga la mabinti kutoshika ujauzito kwa sasa kutokana na kutumia uzazi wa mpango kabla hata ya kupata mtoto mmoja!Hadi watumie hormonal imbalance tablets Tena Kwa kubahatisha!!tuendapo game ni tough sana!!!