Acheni Kujidanganya wanaume

Acheni Kujidanganya wanaume

Kibaharia ngoja nipige kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Demu hana bikra lakini anaongea kwa kufoka na malingo sijui huwa anajionaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
 
MWANAUME KAMA UMEOA MWANAMKE AMBAYE SIO BIKRA, JUA UMEOA MTU ALIYETOA MIMBA 2 MPAKA 5+! KUBALI AU KATAA

Wakuu, sitaki kupoteza muda kuweka tafsida wala kupamba maneno hapa. Hapa ni kupiga spana za uso kwa uso bila ganzi wala kuficha kitu

Wanaume wengi mmeingia kwenye ndoa huku mkiwa mazoba mnaojidanganya kwamba mmeoa mke mwema au mwanamke aliyetulia, kisa tu anavaa vizuri, anajua kupika, na anajipendekeza mbele yako.

Hivi mnapenda kujidanganya au hamtaki kuukabili ukweli mchungu,
Ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia ni huu hapa

Kama umeoa mwanamke ambaye hukumkuta bikra, jua hapo nyumbani kwako umeoa mtu aliyewahi kubeba na kutoa mimba zisizopungua mbili mpaka tano na ushee za wanaume wengine huko nje

Acheni ufala, fanyeni hesabu ndogo tu za kitoto. Mwanamke unakwenda kumwoa akiwa na miaka 25 au 30, halafu unakuta hana bikra tangu akiwa na miaka 16.
Hivi kwa miaka hiyo yote 10 au zaidi aliyokuwa anavuliwa nguo na kugegedwa na wanaume mbalimbali huko nje, unadhani alikuwa anafanya nini, Unadhani hao wanaume waliokuwa wanampanda na kumwaga mbegu ndani yake walikuwa wanatumia mpira kila siku, Au unadhani mimba zilikuwa zikitungwa zinayeyuka zenyewe kwa miujiza,

Wapo waliokuwa wanameza vidonge vya P-2 kama pipi mpaka zikagoma na mimba zikaingia! Wapo waliokunywa mchanganyiko wa majani makali na sindano za uchochoroni ili kufuta ushahidi mimba zisijulikane kwao

Wapo walioenda kwa madaktari wa mitaani usiku wa giza kutoa mimba za wanaume waliowachapa na kuwakimbia, halafu leo wamekuja kwako wamejipodoa na kukwambia Mume wangu, wewe ndio mwanamume wangu wa kwanza kukupenda kwa dhati!
Huu ni wehu wa kiwango, Mwanamke ambaye hakuwa bikra, mwili wake umeshararuliwa na kuharibiwa vibaya.

Leo hii ukimkuta ana matatizo ya uzazi, PID zisizopona, au mfuko wa uzazi umeshikana, unaanza kulaumu uchawi au ndugu yako! Kumbe unalipia gharama za utoaji mimba alizofanya huko nyuma na wahuni waliomtumia na kumtupa

Mwanamke anapoteza bikra na kuanza kutoa mimba za kwanza na za pili, hofu yote ya Mungu inamtoka.

Inakuwaje mwanamume mzima unachukua mtu aliyeshafanya matukio ya kinyama ya kuua viumbe vya watu, unamleta ndani, unampa jina yako, halafu unategemea akueshimu,

Mwanamke wa namna hiyo hana adabu wala heshima kwako, na hata hapo ndani ukizingua kidogo tu ana uwezo wa kutoa na mimba yako bila wewe kujua!

Ukimkuta mwanamke hana bikra, fungua macho! Acha kumeza uongo wa "nilipotoka huko nyuma nilianguka mara moja tu."
Hakuna cha mara moja! Ukweli ndio huo.
kama hukumkuta bikra, unalea mtu aliyeua viumbe vya wanaume wengine mtaani

Nawasilisha Wanawake mje mtoe hayo mapovu yenu
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Bikra siyo kipimo cha mimba mwanamke anaweza asiwe na bikra na akawa hajatoa hata mimba moja
 
Wakati mama yako mzazi anaolewa baba yako alikuwa BIKRA?
 
Mechi ya spain na tanzania hainogi inanoga ya spain na argentina yaani unampiga dogo wa miaka 6 wewe una 29 halafu unajisifu.....crazy mind
 
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
Au sio
 
MWANAUME KAMA UMEOA MWANAMKE AMBAYE SIO BIKRA, JUA UMEOA MTU ALIYETOA MIMBA 2 MPAKA 5+! KUBALI AU KATAA

Wakuu, sitaki kupoteza muda kuweka tafsida wala kupamba maneno hapa. Hapa ni kupiga spana za uso kwa uso bila ganzi wala kuficha kitu

Wanaume wengi mmeingia kwenye ndoa huku mkiwa mazoba mnaojidanganya kwamba mmeoa mke mwema au mwanamke aliyetulia, kisa tu anavaa vizuri, anajua kupika, na anajipendekeza mbele yako.

Hivi mnapenda kujidanganya au hamtaki kuukabili ukweli mchungu,
Ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia ni huu hapa

Kama umeoa mwanamke ambaye hukumkuta bikra, jua hapo nyumbani kwako umeoa mtu aliyewahi kubeba na kutoa mimba zisizopungua mbili mpaka tano na ushee za wanaume wengine huko nje

Acheni ufala, fanyeni hesabu ndogo tu za kitoto. Mwanamke unakwenda kumwoa akiwa na miaka 25 au 30, halafu unakuta hana bikra tangu akiwa na miaka 16.
Hivi kwa miaka hiyo yote 10 au zaidi aliyokuwa anavuliwa nguo na kugegedwa na wanaume mbalimbali huko nje, unadhani alikuwa anafanya nini, Unadhani hao wanaume waliokuwa wanampanda na kumwaga mbegu ndani yake walikuwa wanatumia mpira kila siku, Au unadhani mimba zilikuwa zikitungwa zinayeyuka zenyewe kwa miujiza,

Wapo waliokuwa wanameza vidonge vya P-2 kama pipi mpaka zikagoma na mimba zikaingia! Wapo waliokunywa mchanganyiko wa majani makali na sindano za uchochoroni ili kufuta ushahidi mimba zisijulikane kwao

Wapo walioenda kwa madaktari wa mitaani usiku wa giza kutoa mimba za wanaume waliowachapa na kuwakimbia, halafu leo wamekuja kwako wamejipodoa na kukwambia Mume wangu, wewe ndio mwanamume wangu wa kwanza kukupenda kwa dhati!
Huu ni wehu wa kiwango, Mwanamke ambaye hakuwa bikra, mwili wake umeshararuliwa na kuharibiwa vibaya.

Leo hii ukimkuta ana matatizo ya uzazi, PID zisizopona, au mfuko wa uzazi umeshikana, unaanza kulaumu uchawi au ndugu yako! Kumbe unalipia gharama za utoaji mimba alizofanya huko nyuma na wahuni waliomtumia na kumtupa

Mwanamke anapoteza bikra na kuanza kutoa mimba za kwanza na za pili, hofu yote ya Mungu inamtoka.

Inakuwaje mwanamume mzima unachukua mtu aliyeshafanya matukio ya kinyama ya kuua viumbe vya watu, unamleta ndani, unampa jina yako, halafu unategemea akueshimu,

Mwanamke wa namna hiyo hana adabu wala heshima kwako, na hata hapo ndani ukizingua kidogo tu ana uwezo wa kutoa na mimba yako bila wewe kujua!

Ukimkuta mwanamke hana bikra, fungua macho! Acha kumeza uongo wa "nilipotoka huko nyuma nilianguka mara moja tu."
Hakuna cha mara moja! Ukweli ndio huo.
kama hukumkuta bikra, unalea mtu aliyeua viumbe vya wanaume wengine mtaani

Nawasilisha Wanawake mje mtoe hayo mapovu yenu
Nje ya mada kwanini viagra inauzwa kwa siri lama ni halali?

Kwanini Seran amepigwa bani
 
Upe ubongo nafasi ya kuwaza mengine!!kwanini kujipa stress kwa viungo ambavyo hata hauvimiliki!!

Huko mbeleni tutaoa sana single mothers coz tayari wanna uhakika wa kukupatia mtoto kuliko Hawa fresh waliotumia vidonge kuzuia mimba na wakati wanataka hizo mimba hazipatikani tena!!

Lipo janga la mabinti kutoshika ujauzito kwa sasa kutokana na kutumia uzazi wa mpango kabla hata ya kupata mtoto mmoja!Hadi watumie hormonal imbalance tablets Tena Kwa kubahatisha!!tuendapo game ni tough sana!!!
 
Back
Top Bottom