Acheni kujichubua

Uatafatwa ueleze wako guest ipi
 
wanaume wanajichubua wakikaa kwenye joto au jua kidogo tu wanakua hawaoni vizur wanabadilika rangi kabsaaaa unaweza kuta kila mtu anamshangaa kumtazama na huwa wanajishtukia na kuona aibu sana wanatamani kupaa kutoka kwenye eneo walilopo...
Kuna mmoja nilimuona kajichubua Hadi nzi wanamfata fata Kila muda Yani nikasikia kinyaa sana
 
Mwanamke ni pambo lazima apendeze, kujipodoa ni tofauti na kujichubua, wanatumia bidhaa za bei chee ndio maana wanababuka ngozi
Kuna wengine wanajichubua kwa makusudi weusi hawaukubali...vipodozi gani hivyo vya rahisi vinavyomfanya mtu awe mweupe badala ya weusi alioumbwa nao?

Tuanze na Wema, hajajichubua yule? Ndio kusema anatumia vipodozi vya bei rahisi?
 
Mkuu, asante kwa taarifa. Huku kwetu Chitipa wote wanaojichubua ndo wanaita skin care.
 
Kuna wengine wanajichubua kwa makusudi weusi hawaukubali...vipodozi gani hivyo vya rahisi vinavyomfanya mtu awe mweupe badala ya weusi alioumbwa nao?

Tuanze na Wema, hajajichubua yule? Ndio kusema anatumia vipodozi vya bei rahisi?
Hayo ma Carolite na wenzake anaofanana nao, kwa elfu 10 tu anapata mkorogo umechanganywa hadi na Jik,

Wema alimeza kidonge halafu akashindwa kuitunza ngozi yake pengine hakua anajua ila sasa hivi anajitahidi japo ngozi ikiharibika kuirudisha ni kazi sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…