Acheni kujichubua

Asilimia kubwa,wanaojichubua hawajui hili wala lile. Ni wale wapo wapo tu,wa kudanga au kukaa kwa shemeji. Wengine wenye mishe zao,ni wa kuvutwa na kuhongwa. Ila pia wao ukiwaangalia,unaona kabisa dishi halipo sawa
🀭🀭🀭🀭🀭
Utapigwa mawe....shauri zako
 
Halafu mnapenda kuwasimanga single mama.
Afu wewe....πŸ€›πŸ€›πŸ€›
Teh teh teh teh wanatakaga wenyewe:
-Anaishi nyumba ya urithi
-Ana watoto 4
-Kila mtoto ana baba yake
-Analingia wapangaji wao
-Kavuta lijama linakaa nae kwamba ndo mme wake.
-Wapangaji kila kukicha,ni kumkebehi tuuu. Hasira anaakuja kumalizia JF.

Kazi kupiga tu taarabu,eti siyo kwamba tumependa kuitwa malaya..... Daaadeki. Wao siyo malaya,af watoto wote hao wameokotwa?!
Muache apake mikucha rangi afurahie masimango.
 
Si kichambo hiki jamaniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwahiyo huyo ex wako humu ni single mother?
Ila uwe single au couple, cha umuhimu utelezi.
Au single mama hawana utelezi?
 
.
Sio kujichubua tu, kuna swala la nywele pia ambalo ni sugu.
.
Kina dada wengiiii wanasuka nywele au kuweka mitindo ya nywele ndefu kama wazungu. Kisaikolojia ina maananisha dada zetu hawajajikubali wao kama wao ndomana wanataka kuwa na nywele ndefu kama wazungu.
 
Sahihi kbsa aisee ni kutojikubali

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Bora hata hizo nywele ni za kuweka na kutoa lkn ngozi ikishaharibiwa ndio basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye suala la kujichubua aah hata sitarajii kulifanya maishani, naipenda hii rangi yangu ya pepsiπŸ˜€.

Afu weupe wa kujichubua hata si mzuri kwa muonekano na unaonekana ni feki, sijui wanaojichubua wanajionaje yani.

Muhimu ni kujikubali ulivyo.
 
Kweli kbsa kikubwa wajikubali tu

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…