Acheni kudesa... Cheating principle...

Acheni kudesa... Cheating principle...

But mwenzio is under the impression hapendwa ndio maana atoa mgegedo.......thats cheating men no way to justify it. What do u mean no upendo?

Sio kila kugegedana kunahusiana na upendo bana... kwingine kunahusiana na hamu tu. Yaani kama mtu anavyopata hamu ya kugonga tusker 1, ina maana anaipenda tusker?
 
Why tusker? sababu unaitunuku.....hamu haikufanyi upige Senator au Bulimi kama ishu kulewa kwani hata chibuku inalewesha.......my point is kwa wewe kulala na mchuchu shurti uwe umempenda/vutiwa naye akuburudishe kumoyo na hiyo ni cheating hayo matamanio yako reserved kwa the one and only, kama sivyo basi dushe yako haina thamani and you shouldn't be allowed kumwambia mtu unampenda
 
Mpendwa huyu hataki kuelewa au hajui kwamba haelewi...principles za haya yote tunajadili tayari yapo...
Kama anaongelea Open Relationship/Friends with Benefits etc basi mawazo yake hayana walakini.
Otherwise nobody is going to buy his idea(s).
 
Kwa hiyo, the cheating principle states that; "Ikiwa mtu una mpenzi/mke/mume unayempenda kiukweli, na ikatokea kwa 'bahati mbaya' ukafanya ngono na mtu mwingine ambaye haumpendi (pia haumchukii) (mara moja au kwa kurudia), basi hujamchiti mpenzi/mke/mume wako"

Msibishe... Imesibitishwa maabara na wataalamu wa mapenzi waliobobea, wakiongozwa na mimi mwenyewe...
Kama unataka kupata uhakika kwamba hiyo ni 'cheating' au la subiri ugundue mke/mume/mpenzi wako amefanya kama ulivyoandika hapo juu. Only, and only then will you know for sure.
 
Reference please...
Maana sijawahi kuona mahali ambapo pana ahadi ya namna hiyo 'official'..
mkuu,hiyo ahadi wanawake huwa wajiongopeaga wenyewe,na wanaume tunautumia huo udhaifu kwa faida yetu.
hakunaga hiyo 'principle' for any romantic relationship!
Tuko,pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa huyu hataki kuelewa au hajui kwamba haelewi...principles za haya yote tunajadili tayari yapo...
Kama anaongelea Open Relationship/Friends with Benefits etc basi mawazo yake hayana walakini.
Otherwise nobody is going to buy his idea(s).

Kabsaa....asitake kuhalalisha cheating....hiyo haipakiki rangi anataka acheat halafu halalishe eti fyoko kupenda kama ishu ndiyo hiyo basi kusingekuwa na haja relationships ukijisikia unaenda tafuta kiburudisho
 
Why tusker? sababu unaitunuku.....hamu haikufanyi upige Senator au Bulimi kama ishu kulewa kwani hata chibuku inalewesha.......my point is kwa wewe kulala na mchuchu shurti uwe umempenda/vutiwa naye akuburudishe kumoyo na hiyo ni cheating hayo matamanio yako reserved kwa the one and only, kama sivyo basi dushe yako haina thamani and you shouldn't be allowed kumwambia mtu unampenda

Kwa mfano yule jamaa kule aliyesababishiwa ulemavu wa dushe... ye haruhusiwi kupenda? How about that?
 
Mwanamke aliye kula kinyesi cha Paka chenye wadudu waitwao Toxoplasma gondii (either kwenye chakula, udongo, matunda, maji au kumshika paka mwenyewe) anakuwa na tabia ya cheating kwa mume wake. Wadudu hao huharibu tabia ya mtu kwani hushambulia Ubongo. Kwa mwanaume wadudu hao humfanya kuwa aggressive. Pia Wadudu hao wakimuambukiza panya; humfanya panya asimuogope paka hivyo kuleta panya kuliwa kiurahisi na paka.
Kwahiyo cheating jamani ina sababu nyingi sana. Ahsanteni waungwana kwa kunisikiliza.
 
Back
Top Bottom