Achana na tabia ya kuvutana ndani na kuishi na mpenzi wako bila ndugu/wazazi wenu kujua

Good wameoa sio wamechukuana maporini.
Wameoana wapi wakati wazazi wao hawajui kabisa hicho kitu. Wanajua either wanakaa hostel au wamepanga tu mtaani kulingana na walivyoambiwa.

Mimi kuwa single kuliniweka hatarini maana muda wote nakuwa free kutembelewa na yeyote yule au najisikia leo nataka kusikia sauti ya kike. Sasa kila siku nitabadilisha mara ngapi, nikajichukulia pisi moja ndo navunga nayo. Kwanza sahivi situmii gharama za kipuuzi kama semester iliyopita, ile nilikuwa natumia nguvu nyingi kula kimasihara sahivi natumia gharama ndogo kumaintain mahusiano.
 
Huo ndio ubaharia sanifu!
Sijawahi kujiita baharia. Tatizo nashangaa watu wanawezaje kuwa single, mimi huwa naona kama waongo hivi. Nikijaribu kuwa single bado napata tenda kwenye mahusiano ya watu. Sasa ninachokwepa sikioni. Nikiwa na mmoja anatosha, akianza kona tu naandaa next move. Hapa nilipo nina reserve kama mbili ziko ready for deployment ikitokea aliyepo akiwa insourced.
 
Andiko lako lilinivutia ila ulipoanza sababu ni mtu akiwa mahututi umeharibu, kwani kuna shida gani mtu akiwa mahututi?
Shida ipo kubwa mkuu,chukulia unaishi na mtu hufahamiki kwao na unamuuguza huku akiwa hajiwezi kwa haja zozote zile...na 'chance' ya kufariki ni kubwa; hapo utafanyaje?
 
Utaanzaje kuwaeleza?na ndugu zake watalichukulia kwa uzito gani?
Nitaanzaje kuwaeleza?, wakati taarifa ya daktari ipo?

ACHA UOGA HAPO HAMNA KESI, Binafsi huwezi kuniletea ujinga kwenye hilo labda uniloge nako utakuwa umenionea maana nitakuwa sina kosa.
 
Sijawahi kujiita baharia. Tatizo nashangaa watu wanawezaje kuwa single, mimi huwa naona kama waongo hivi. Nikijaribu kuwa single bado napata tenda kwenye mahusiano ya watu. Sasa ninachokwepa sikioni. Nikiwa na mmoja anatosha, akianza kona tu naandaa next move. Hapa nilipo nina reserve kama mbili ziko ready for deployment ikitokea aliyepo akiwa insourced.
Noma sana!!!!
 
Hahahah kwa maana huwezi kaa bila ajira.
 
Tabia mbaya sana. Mabinti huko vyuoni wanatumika wanajiachia kabisa ila mwisho wa siku wanasahau kuwa ni shughuli za ujana tu zile, wakimaliza vyuo wanatawanyika kama kila mtu na lwake na mwishowe wanatengana kabisa.
Na apo ndo mabinti wengi wanapochezea nyota zao kwa uchafu wao....wakitoka apo utasikia Mimi Nina gundu mbna siolewi kumbe mwanakulipata...
 
Hata dem akija short time anaweza kukufia tuu kama zake zimefika.huwa nikiwa na dem tumelala napata was was sana mda mwingi huwa namchek km anapumua.hakuna kitu naogopa km hicho maana dem alishawahi kuzimia geto huo mtiti wake sitakuja kusahau.kumbe dem alikuwa na ugonjwa wa mapepo.
😅😅😅😅doh kweli maana angekufa sjui ungewaeleza nn watu.
 
Hata dem akija short time anaweza kukufia tuu kama zake zimefika.huwa nikiwa na dem tumelala napata was was sana mda mwingi huwa namchek km anapumua.hakuna kitu naogopa km hicho maana dem alishawahi kuzimia geto huo mtiti wake sitakuja kusahau.kumbe dem alikuwa na ugonjwa wa mapepo.
Hahahahahah Kwahiyo huwa hulali mkui, muda wote unamcheck kama anapumua au lah
 
Wavushaji wa vipindi vifupi vifupi tujuane hapa.

Nb. Siku nikioa ndio wa kulala na kuamka nae deile sijui itakuwaje. Sijui nitawezaa!
 
Back
Top Bottom