Achana na tabia ya kuvutana ndani na kuishi na mpenzi wako bila ndugu/wazazi wenu kujua

Hata dem akija short time anaweza kukufia tuu kama zake zimefika.huwa nikiwa na dem tumelala napata was was sana mda mwingi huwa namchek km anapumua.hakuna kitu naogopa km hicho maana dem alishawahi kuzimia geto huo mtiti wake sitakuja kusahau.kumbe dem alikuwa na ugonjwa wa mapepo.
 
hata dem akija short time anaweza kukufia tuu kama zake zimefika.huwa nikiwa na dem tumelala napata was was sana mda mwingi huwa namchek km anapumua.hakuna kitu naogopa km hicho maana dem alishawahi kuzimia geto huo mtiti wake sitakuja kusahau.kumbe dem alikuwa na ugonjwa wa mapepo
Hiyo ni hatari sana
 
Hivi tumekubaliana kuishi na mtu kwetu wote hawajui,then akaugua kawaida akalazwa akafa? Nitashtakiwa?

Kwa kosa gani?
Labda waniloge.....kwanza akiumwa lazma mawasiliano ya kwao yatapatikana tu.
 
Hivi tumekubaliana kuishi na mtu kwetu wote hawajui,then akaugua kawaida akalazwa akafa? Nitashtakiwa?

Kwa kosa gani?
Labda waniloge.....kwanza akiumwa lazma mawasiliano ya kwao yatapatikana tu.
Utaanzaje kuwaeleza?na ndugu zake watalichukulia kwa uzito gani?
 
Back
Top Bottom