Achana na 'connection' ambayo haina manufaa

Tafadhali zingatia kwamba uzi huu umechakachuliwa.

Post ya kwanza inatokea kuwa yangu, wakati mimi nilijibu tu katika uzi aliouanzisha mtu mwingine.

Hivyo, uzi umepoteza mtiririko halisi na hauleti mantiki iliyokuwapo awali.

Nimewataarifu moderators warekebishe mapungufu haya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…