Achana na 'connection' ambayo haina manufaa

Suala si nabisha au sibishi.

Hata ukivuta pumzi tu, ushabisha. Umekibishia kifo.

Suala ni. Unaelewa ninachoandika?

Unaweza kujadili hoja kwa hoja?

Nimeuliza maswali hapi juu.

Unaweza kuyajibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa una akili kubwa Sana [emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ni dhana telezi, haina tafsiri moja, kila mmoja anaweza kuifafanua kulingana na mrengo wake au katika muktadha husika. Tafsiri hiyo yaweza kuwa sahihi kwake na isiwe sahihi kwa mwingine.
 
anaemsaidia maskini anapata manufaa si kwa kurudishiwa kile au zaidi ya kile alichotoa, no!

bali anapata furaha kwa kumsaidia asiye nacho. hivyo yeye anaihesabu furaha aliyopata kuwa ni manufaa kwake.

manufaa ni kile kinachoongezeka katika ulicho nacho. yaweza kuwa manufaa hasi pia yaweza kuwa manufaa chanya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huu uzi unahusiana na nini? Nisaidieni wadau.....
 
Kuna wengine wanasaidia halafu inaharibu bajeti zao vile vile wanapata stress.
 
Mkuu...nashukuru umenijuza vizuri mno...

Sasa kwa vile aulizaye ataka kujua..basi nikuombe tu .. ... unifahamishe kwa kufafanua kuhusu hii kauli yako.... " Achana na Connection zisizo na faida"..

Hapo tu mkuu..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...nashukuru umenijuza vizuri mno...

Sasa kwa vile aulizaye ataka kujua..basi nikuombe tu .. ... unifahamishe kwa kufafanua kuhusu hii kauli yako.... " Achana na Connection zisizo na faida"..

Hapo tu mkuu..



Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli si yangu. Kauli ni ya mleta uzi.

Ukiona tofauti, uzi umechakachuliwa. Naona kama post ya kwanza inatokea yangu, wakati sijaanzisha uzi mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…