Achague yupi kati ya hawa?

Achague yupi kati ya hawa?

Huyo 36yrd atakuwa single mother na kwa umri alio nao achukue mchuchu 23yrs huyo wa 33 ni sawa sawa nakununua vitz iliyotumika miaka 15
 
Uyo wa 36 hawezi kucheza faulo kama ni match basi yupo finally [emoji28][emoji28]
 
36 is better huyo n mtu mzma mwenzie

Ila huyo 23 kichefuchefu
 
Hahaha baharia mwenzangu unataka kumrudisha nyuma jamaa, sema anachofikiria yeye, ni huyu tayar ana kazi, mwingine anamtegemea yeye apate kazi! Na huyu anayemtegemea ndio anampenda zaidi!
Huyu wa 23 akija kupata kaz jamaa ajue
Atasahaulika mazma atalilia choon
 
Bora atafute tu mwingine,wote wawili wapige chini.
 
Hello Guys

Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!

Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo ana 23 yrs saivi, mwana ana 33. Kulingana na chamgamoto za kimapenzi na maisha alichelewa kuoa.

Sasa mwana anasema kapata demu (mchepuko) kazini kwake, na wana kama miezi mitatu hivi maana alitokea kupishana na huyo mchumba wake mwana ikabidi atafute sehemu ya kujiliwaza. Huyu demu ana 36 yrs saiv, na according to mwana anasema huyo dada yupo tayar kuanza maisha na mwana, na hata akimwangalia tu ana interest kweli za kuolewa.

Sasa jamaa amekuwa kwenye sintofahamu kali, yupi amchague, anafikira huyu wa 36 tayar anajua maisha hata namna ya kuishi na mwanaume, na amekuwa akidekezwa sana anapokuwa kwa huyu mwanamke, ila huyu wa 23 (ambaye ni mchumba japo si rasmi) mwana anasema anatumia muda mwingi sana kusolve ugomvi badala ya maisha. Anasema yupo dilema!


Kwako mwana jamiiforum, u amshauri nin kijana mwenzetu?
tii nafsi yako mkuu.
 
Hahaha baharia mwenzangu unataka kumrudisha nyuma jamaa, sema anachofikiria yeye, ni huyu tayar ana kazi, mwingine anamtegemea yeye apate kazi! Na huyu anayemtegemea ndio anampenda zaidi!
Huyu wa 36 kuna kiimbembe huko mbele,wakishavutana. Atulie tu asake kinu kingine kwa utulivu
 
Huyo 36 siyo single mom kweli!! Anategemea kuwa na watoto naye?? Mwanamke akishavuka 35 risks za kupata watoto wenye matatizo ya kinasaba (chromosomes abnormality) ni kubwa mf down's syndrome, Edwards syndrome (wanakuwa na mtindio wa ubongo). Kuna jamaa aliimba kuwa mwanamke akikuzidi umri ni sawa na kununua gazeti jioni
 
Hawa twentieth ni bamiza kichwa yaaani kakubamiza hasa mpaka kajikojolee sijui unanipata? Sijui sauti inatosha

We 33 unaogopa nini kubamiza yaani bamiza mzee baba sijui unanielewa . nasema bamiza sana. Mpaka kajikojoleee kama hawezi alete nimsaifie sijui umenielewa?

Hivi utafikisha ujumbe wa kukabamiza?
 
Huyo 36yrd atakuwa single mother na kwa umri alio nao achukue mchuchu 23yrs huyo wa 33 ni sawa sawa nakununua vitz iliyotumika miaka 15

Ni single mother hata saa hii, ana mtoto alimzaa mapema sana, yupo form five nadhani. Ni mtu ambaye hana shida na pesa anakosa mume tu, na ni mrembo tu, huwa nashangaa kwa nin hadi sasa hajaolewa na mwana ndio anaelekea kuokoa jahazi!
 
Hawa 30+ huwa wazuri kwa maisha, ila aangalie kuhusu kuwa na familia, kama anachukua afanye haraka kuweka familia walau apate 3 hadi wanne watoto. Maana wengine wanakuwa tayari washachoka kuleta watoto ndio hapo inakuwa kimbembe kwenda huko na kule kutafuta
 
Huyu wa 23 akija kupata kaz jamaa ajue
Atasahaulika mazma atalilia choon
🤣🤣🤣🤣🤣 Huyu wa 23 kiukweli namuonaga anamsumbua sana, mara hela ya kula unajua zile za kichuochuo, ila yeye anadai huyu 23 yupo loyal sana kwake, hakana mambo makubwa zaidi ya hayo ya kichuochuo!
 
Hawa 30+ huwa wazuri kwa maisha, ila aangalie kuhusu kuwa na familia, kama anachukua afanye haraka kuweka familia walau apate 3 hadi wanne watoto. Maana wengine wanakuwa tayari washachoka kuleta watoto ndio hapo inakuwa kimbembe kwenda huko na kule kutafuta
Na yeye akijiangalia ana 33 anaona anachelewa, japokuwa pia ana mtoto alimzalisha mdada mmoja kama miaka miwili au mitatu iliyopita. Ila nadhani concern yake kwa sasa ni kuishi na mke, na ndio hivyo anaona hapa kwa 36 anadekezwa lakin ukimuuliza anakiambia anakapenda haka ka 23 japo kana utoto mwingi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom