Achague yupi kati ya hawa?

Achague yupi kati ya hawa?

Hello Guys
Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!
Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo ana 23 yrs saivi, mwana ana 33. Kulingana na chamgamoto za kimapenzi na maisha alichelewa kuoa.
Sasa mwana anasema kapata demu (mchepuko) kazini kwake, na wana kama miezi mitatu hivi maana alitokea kupishana na huyo mchumba wake mwana ikabidi atafute sehemu ya kujiliwaza. Huyu demu ana 36 yrs saiv, na according to mwana anasema huyo dada yupo tayar kuanza maisha na mwana, na hata akimwangalia tu ana interest kweli za kuolewa.
Sasa jamaa amekuwa kwenye sintofahamu kali, yupi amchague, anafikira huyu wa 36 tayar anajua maisha hata namna ya kuishi na mwanaume, na amekuwa akidekezwa sana anapokuwa kwa huyu mwanamke, ila huyu wa 23 (ambaye ni mchumba japo si rasmi) mwana anasema anatumia muda mwingi sana kusolve ugomvi badala ya maisha. Anasema yupo dilema!
Kwako mwana jamiiforum, u amshauri nin kijana mwenzetu?

Kwani wewe umemshauri Nini kabla haujamfungulia thread hapa?
Asipoteze muda,achukue uyo wa 36 wamalizie uzee pamoja.
 
Kwani wewe umemshauri Nini kabla haujamfungulia thread hapa?
Asipoteze muda,achukue uyo wa 36 wamalizie uzee pamoja.
Mim kiukweli nawafahamu wote. Wote nafanya nao kazi. Bahati mbaya sana huyu dada kala ujana na mabosi wazito wazito, amekuja kuzinduka kumeshakucha, huyu mwana naye ndio hivyo amechelewa kuoa, binafsi nimemwambia awe makini tu kwenye suala la kuoa asee. Siwezi kumwamlia yupi amchukue yupi amwache. Inawezekana huyu wa 36 akawa chaguo sahihi labda kwa kuwa starehe zote anazijua so kaamua kuacha starehe kakumbuka kuishi na mme!
 
Hawa twentieth ni bamiza kichwa yaaani kakubamiza hasa mpaka kajikojolee sijui unanipata? Sijui sauti inatosha

We 33 unaogopa nini kubamiza yaani bamiza mzee baba sijui unanielewa . nasema bamiza sana. Mpaka kajikojoleee kama hawezi alete nimsaifie sijui umenielewa?

Hivi utafikisha ujumbe wa kukabamiza?
Unasema? Ongeza sauti kidogo naona wa mbele wananiziba nimekaa nyuma huku, sioni kabisa mbele na sauti ipo chini sana
 
Hawa 30+ huwa wazuri kwa maisha, ila aangalie kuhusu kuwa na familia, kama anachukua afanye haraka kuweka familia walau apate 3 hadi wanne watoto. Maana wengine wanakuwa tayari washachoka kuleta watoto ndio hapo inakuwa kimbembe kwenda huko na kule kutafuta
Hii ni point kubwa sana. Kwa huyu namfahamu alizaa akiwa na 16 tu, baada ya hapo nadhan kafanya vi abortion kadhaa wakati wa kuchezea ujana wake. Kazi ipo hapo!
 
Mim kiukweli nawafahamu wote. Wote nafanya nao kazi. Bahati mbaya sana huyu dada kala ujana na mabosi wazito wazito, amekuja kuzinduka kumeshakucha, huyu mwana naye ndio hivyo amechelewa kuoa, binafsi nimemwambia awe makini tu kwenye suala la kuoa asee. Siwezi kumwamlia yupi amchukue yupi amwache. Inawezekana huyu wa 36 akawa chaguo sahihi labda kwa kuwa starehe zote anazijua so kaamua kuacha starehe kakumbuka kuishi na mme!
Kama ni single maza hapa Jamaa analamba galasa labda kama Anataka kulelewaa...!!
 
Fuata moyo wako, ila usiache akili zako nyuma... Usiache mbachao kwa msala upitao...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom