makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,452
- 108,533
Mleta mada mnamshambulia bure maskini, yeye kashauri tu na nado kasema kama hutaki kuchukua ushauri wake hakulazimishi,
We endelea kuhonga tu.
Mimi natembea kwenye reli ya mleta mada kabla hajaanzisha hii kitu
[emoji41]
Kula like [emoji106] mwanangu mwenyewe
We endelea kuhonga tu.
Mimi natembea kwenye reli ya mleta mada kabla hajaanzisha hii kitu
[emoji41]
Kula like [emoji106] mwanangu mwenyewe