Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufilisi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,014
Reaction score
11,903
Mkuu,
Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufilisi.

Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi.

Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa.

Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
 
Kila mtu na starehe yake bwana...hamna mbususu bila kuhonga
 
Ebu usiwapangie matumizi ya pesa zao responsible men bana, afu wanatoa kwa upendo tu na sio shuruti. Acha wivu😏

NB: ila kwa wanaume mliooa naunga mkono msitoe pesa huko nje mpe wife, hivo msiwe na mchepuko😉 hii ni spesho kwa wachumba na wapenzi kupeana pesa si dhambi.
 
Mkuu,
Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufirisi.

Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi.

Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa.

Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
Aisee kuna takataka nikimfikiria natamani hela zangu ningekuwa namtumia bibi yangu kijijini ningepata baraka zaidi.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ebu usiwapangie matumizi ya pesa zao responsible men bana, afu wanatoa kwa upendo tu na sio shuruti. Acha wivu😏

NB: ila kwa wanaume mliooa naunga mkono msitoe pesa huko nje mpe wife, hivo msiwe na mchepuko😉 hii ni spesho kwa wachumba na wapenzi kupeana pesa si dhambi.
hahahahaaaaaa, vijana wameongezewa umri wa utegemezi sasa ni miaka 21.
 
Mkuu,
Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufirisi.

Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi.

Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa.

Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
Hizi ndio Akili za Mwanamke anayejielewa
Ngoja uone visichana vitakacho comment
 
Hapana sina Mke wala Mpenzi, ila tuu nashangaa unavyopigia promo uhongaji wa hela kwa wasio oa. Kama vile kitu cha Maana sana
Ooh sawa kumbe siyo cha maana, sasa si ungechangia hicho cha maana ulichonacho mkuu? Afu mada ni kuhusu kutoa pesa sasa ulitaka nichangie kuhusu siasa ndiyo uone maana? Wachumba kupeana pesa ni kosa?
 
Pesa tutafute wenyewe alafu matumizi utupangiae wewe mkuu inaleta maana kweli?

Wewe tupe ushauri wa namna ya kusaka pesa au kuongeza kipato, matumizi tuachie wenyewe
 
Ooh sawa kumbe siyo cha maana, sasa si ungechangia hicho cha maana ulichonacho mkuu? Afu mada ni kuhusu kutoa pesa sasa ulitaka nichangie kuhusu siasa ndiyo uone maana? Wachumba kupeana pesa ni kosa?
Oooops Sorry Nilikuelewa vibaya . Alafu pia na wewe Mada hujaielewa pengine

Inazungumzia kutoa pesa kwa Wanawake yani as long as ni Mwanamke sio Mke/Mchumba,
Yaani kugawa gawa hela kwa wanawake ndiko alikosema dada yetu OP
 
Ni kweli,unampa maneno tu ya matumaini na ahadi nyiingi huku ukiendelea kumtafuna,akikuomba pesa unamwambia"kunamchongo nauskilizia',,ukitiki mbona utafrahi tu mamii.
Kisha unamvua chupi unainusa kwanza alafu ndo unakula mzigo,maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom