.ndo tunapofeli hapoWatu hawapendi kusikia changamoto, wanataka kusikia habari nzuri nzuri tuu kuhusu biashara fulani, ukimwambia changamoto anaipiga chini.
Mkuu hii username yako kibboookoooUbongo ushapata kitu hapa,tena buure wallahi
Mkuu,Mkuu umemuibia Ontario kule Instagram ungempa credit japo kdogo mana idea yote umeshuka nayo nzimanzima japo umebadili majina ,
Hapana huyu jamaa hua namuelewa sana,ila ww Ontario ame teka akili yako na hutaki kubadilikaMakirita Amani,
Mkuu umemuibia Ontario kule Instagram ungempa credit japo kdogo mana idea yote umeshuka nayo nzimanzima japo umebadili majina ,