Acha EGO, mtafute mwenzako

Acha EGO, mtafute mwenzako

Sasa ni zamu ya wanawake kuwa wa kwanza kuwatafuata/kuwatongoza wanaume.

"Haiwezekani nimtongoze kwa mbinde,
Nimlishe, nimvishe, na pia nimlinde,
eti yeye aniheshimu halafu Mimi nimpende,
Kisha ananiambia mi ni mwanaume makende,
kisa kumfunga goli mbili kwa mbinde,
Si bora niangalie porn ilotengenezwa kwa akili unde,
Kisha ninyetuke nisije nikapata kaswende 🎶🎵.
Ebhanaee una kitu nenda kwa s2kizzy chap 🔥
 
Sasa ni zamu ya wanawake kuwa wa kwanza kuwatafuata/kuwatongoza wanaume.

"Haiwezekani nimtongoze kwa mbinde,
Nimlishe, nimvishe, na pia nimlinde,
eti yeye aniheshimu halafu Mimi nimpende,
Kisha ananiambia mi ni mwanaume makende,
kisa kumfunga goli mbili kwa mbinde,
Si bora niangalie porn ilotengenezwa kwa akili unde,
Kisha ninyetuke nisije nikapata kaswende [emoji445][emoji444].
Hahahaaa[emoji28]
Noma sana [emoji41]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom