Acer liquid Z200 baada ya kuflash...

Acer liquid Z200 baada ya kuflash...

stable-negro

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
509
Reaction score
347
Habari za muda wakuu...?

Nimeletewa simu aina ya Acer liquid Z200 iliyokuwa ina tatizo kwenye booting; changamoto niliyoipata baada ya kuiflash na original firmware ambayo nimeidownload kutoka website ya mediatek, tatizo limeisha japo kumeibuka changamoto nyingine ambapo sim 1 na 2 hazsomi line za mitandao ya Tanzania mpaka moja kati ya Sim Card iwe ya Telcel (according to notification inayotokea)

Kwa yeyote mwenye maarifa ya nini cha kufanya au mwenye link ambayo ina firmwares zinazoweza kutatua tatizo moja kwa moja naomba anisaidie wakuu.
 
Back
Top Bottom