Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 77
Hello Bandugu,
Week moja iliyopita nilitoa Tangazo la Kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire S7. Kama unayo Please PM me tufanye Biashara