Accounting Software kwa Biashara Ndogo na za Kati. (BUSY)

fmlyimo

JF-Expert Member
May 4, 2012
325
198
Ni Software rahisi sana kutumia (Hauitaji kusoma Accounts wala Computer).
Inajumuisha mambo yote ya Accounts pamoja na Inventory, Payroll. Pia ina-support Multi-Branch, Multi-Currency. na mambo mengine mengi sana kama Unlimited Companies, Web Base Reporting etc.
Kwa maelezo zaidi, tembelea www.busy.in , download a demo copy. Ukiipenda ni PM au tuwasiliane kwa namba 0659890000.
Bei ni kati ya USD 363 hadi USD 2,320 kutegemeana na aina au toleo unalotaka. Bei hizo zimejumuisha Implementation, Training na Support ya Mwaka Mzima. Unalipa mara moja tu na utaitumia milele.
Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom