Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

ni muhimu sana vyama vya siasa visivyo fanya shughuli za kisiasa kufutwa tu 🐒
 
Hizi roho za kihutu kabisa sasa! Zililetwa na Bwana yule na sasa liroho lishakomaa kabisa hamna wa kuzima mabadiliko kwa sasa wajue tu
Kwa nini zisiwe za kitutsi
 
Kuna mjinga mmoja yupo huko kwa samia ana akili ndogo sana
 
ni muhimu sana vyama vya siasa visivyo fanya shughuli za kisiasa kufutwa tu 🐒
Unafuarahia tanganyika kuliwa na kina abduli na wajomba zake waarabu kwa deals chafu na za hovyo za kuiibia fedha nchi na wewe mtanganyika una unga mkono na kurukaruka
 
Vodacom si wana utaratibu wa kuchangisha pesa? CRDB si wana utaratibu kama huo wa kutuma au kupokea zawadi?
Sijawahi kusikia utoaji wa sadaka ukiombewa kibali kutoka benki kuu.
Hata hivyo siwezi kushangaa ikipitishwa sheria mpya ya kuzuia michango ya CHADEMA maana wameshikwa kwenye mshono.
 
Kuchangia ktk account/number za watu binafsi nayo haitawezekana?
 
Mleta mada yuko sahihi. Ila njia watakayotumia ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

Wamepanga Msajili aandike barua kwa Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu kuyaagiza wasitoe ushirikiano kwa John Mnyika ambaye ndiye Afisa Maduhuli wa Chadema ili kufanya Chadema washindwe kutoa fedha wanazotumiwa na wananchi.

Uzuri ni kwamba wakifunga hizi account Wananchi hatutakata tamaa. Itafika kipindi Chadema watalala bure kwenye Guest na Lodge zetu, watawekewa mafuta bure kwenye petrol stations na kupewa michango kwa Cash ili shughuli ziendelee.

Kwa kifupi wakifanya hivyo ndo watasababisha hata huo uchaguzi wa Oktoba usifanyike kweli kwa namna wananchi watakavyoungana na Chadema ku riot.
 
Hapo ndipo wata speed up the accelerations. Chadema ni kamaibada vile watu wanavyochanga sadaka, kunawengi huwa tunawachangia hapa mjini hatujaona kama wanakibali, wivu Tu CCM lazma wakufe safari hii
 
Kama Millard Ayo kalimwa barua afute barua za Gwajiboy
Siwez shangaa hilo dogo.
Kama sehemu nyeti zinaongozwa na vija a wadogo wanaochukua maamuzi yanayochukuliwa kwa sasa nashauri kufanyike seminar au training wanafanya isivyo sivyo
 
Wewe ni mkweli sana...nasubiria tukio la mwezi Julai.
 
Hila juu ya hila, cdm wanapitia mitihani mizito. Ushauri wangu nadhan cdm wana zaidi ya njia koja ya kuchangia pesa

Ila wafunge mkanda sana
 
Walam wangekuwa wanawapa pesa wangekuwa chama tajiri sana, mlami yupi huyo anatuma tena tzs? Halaf laki 1,2 ? Mlami yupo huyo anatoa vihela vidogo vidogo?

Pungungeze theory uchwara
 


Mambo mengi unayoongea ni kweli ila nataka kukwambia kuwa ishu ya wabunge covid mbowe ajausika

Na naweza kukupa ushahidi wa wazi wazi kuwa mbowe alikuwa hajui chochote

Chadema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu wao wameonekana bungeni was a day before kuapishwa tena aliesababisha ni yule mbunge wa dodoma alipaki gari lake get la waziri mkuu na ilikuwa ni usiku so kuna chadema ambao wanafanya gym pale pembeni wakaanza kufatilia what is going on

Nakuhakikishia hakuna mtu wa chadema alikua anajua anything

Hata hao wenyewe wakina mdee wamekuja kujuana ilazo mashineni wakati wamefata form
 
Nilijua tu hilo litatokea. Ni suala la muda tu.
 
Nilijua tu hilo litatokea. Ni suala la muda tu.
 
Walam wangekuwa wanawapa pesa wangekuwa chama tajiri sana, mlami yupi huyo anatuma tena tzs? Halaf laki 1,2 ? Mlami yupo huyo anatoa vihela vidogo vidogo?

Pungungeze theory uchwara
Acha kufanya watu ni majuha halafu unadhani hamuonekani?
kama mu wasafi kilio cha nini?
Ruzuku haikuwatosha kujenga chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…