Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,178
Reaction score
41,625
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,

Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale

Uzi

Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’

Britanicca
 
Yote yata fanyika ila kama mungu kaamua tutajua kama ni mungu wa samia au wa lissu na heche na watanganyika.

Kwenye maisha kuna nyimbo inaitwa riziki yake pana kuipata ni vugumu.-k-bazil.
 
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,

Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale

Uzi

Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’

Britanicca

Ngoja tuone Mkuu accounts zikifungwa.
 
Hivi ni kwa nini wanaichukia sana hiyo Chadema? Muulize huyu mnyetishaji wako tafadhari.
Matendo yao dhidi ya wanyonge ni machukizo mbele ya Muumba wao- hivi wanajua au wanapotezea?
IMG_20250528_111011.jpg
 
Wasalaamu
Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha,

Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe
1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania,
2. Nikawaambia kuwa hawa COVID-19 CHADEMA itawafukuza Kama geresha tu nilitukanwa sana Ila ukweli nakuwa nao sioni haja ya kushindana na watoto wenye techno za shangazi zao na bando la 500
3. Juzi nimewaambia kuhusu mbelgiji kupewa kesi, na kufanya kila mbinu viongozi wake wafungwe na ku frustrate chama wakabeza yametokea Yale Yale

Uzi

Nirudi kwenye msingi sasa
Nimeongea ma mtu mzito sana hapo Magogoni kaniambia kwamba pamoja na kuishake CHADEMA bado ndo wanaongezewa nguvu

Sasa wataandaa watu Kwenda kulalamika kuhusu michango wanayopokea CHADEMA inafanya nini, na hii TONE TONE ni kwamba haijapata kibali kutoka hazina kuchangisha Pesa, Kwakuwa kuchangisha Pesa hadi upewe kibali maalumu’
Kwamba watafreeze account za chama na kuwapiga marufuku kuendelea na ukusanyaji fedha’

Britanicca

Ukombozi uko kwenye CDM kucheza ngoma yake:

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg

Siyo kuchezeshwa ngoma yao!
 
Mashetani wanaweza fanya chochote,ila wakiufunga mlango mmoja,mingine 1000 inafunguka.Ila nawashauri iwapo wanataka hivyo waanze na ya Gwaji boy aliye wabomoa kichwa kwa mawe na kuwaacha wakivuja damu.Halafu ndio waendelee na ushetani wao.
 
Back
Top Bottom