Batch uwa zinachelewa kutoka, zinaweza fika ata zaidi ya tano na zikachukua hadi November - December ili ziishe, zikiisha wanafungua appeal ya mkopo Kwa waliokosa, Cha msingi fight uanze chuo kwa namna yako wewe if possible, all da best, on the same boat