KCB ni rahisi kuliko CRDB
Kama una account ya TZS CRDB ni rahisi sana kufungua Dollar account, it can take you only 15 minutes. Just you need to write an application letter asking to have a dollar account at the same time don't forget to get them informed dat you also posses a TZS account, that is all with CRDB.
Habarini wanajamvi.
Msaada pliz, ni Bank ipi yenye naweza kuwa na account in dollars, with affordable terms.
Asanteni.
Naongelea Savings Account
Mkuu ni hivi charges zao ziko hivi kwa haraka haraka..... Floating balance ya KCB ni $50 na CRDB ni $100#
Wote wanacharge dola $5 kila mwezi kwenye account yako
Wote wanacharge 1% kwa kiasi unacho withdraw
Ila cha ajabu kuna charges nyingine CRDB ambazo huwa zijawahi kufafanuliwa na ni za ajabu tu.
Mkuu hapa tunaangalia Bank Charges na Floating Balance katika account. CRDB utajuta kwanza floating ni dola $100
Naona kama tofauti uloonyesha ni negligible!!
Hapana. Nina account ya dollar na unaweza kuacha balance hata US$ 20. Talking from experience!
Monthly maintenance nayo si kubwa sana. Kuna faida pia ya internet banking
Mkuu CRDB au benki nyingine...?
Hebu mwenye data sahihi kuhusu dollar account atujulishe wapi ni cheapest na hawana masharti yenye Urasimu
kwema mkuu... Nadhani naweza kuwa na experience japo sio kubwa bt ya kutosha. The good thing ni kwamba sijawahi kuwa na acc ya shilingi na toka nianze nimekuwa na ac za dola CRDB, Stanbic, Standard charter na hatimae access bank. Bila ushabiki Access bank is the best (according to my experience). gharama zake ni kama ifuatavyo; costs of withdrawal in cash ni 0.5%, account maintenance costs ni 1.00 usd kwa mwezi. over and out. wezi wa tatu nilipata capitalization ya 7.92 usd na mwezi wa nne nilipata 8.24 usd mwezi wa tano sita na saba sijachukua statement bt sijwahi kukatwa hela zangu japo zipo kidogo kila mwezi zinaongezeka at least 5 usd kama capitalization. opening balance ni 5 USD