According to your Ex, what was your main problem?

Ngoja nikikutana nae nitamuuliza kisha nije kuchangia
 
Sijui kucare.
Ofcoz hayo mambo ya kumcare mtu mzima mwenye meno 32 mimi yamenishinda hadi leo.
Ila mkuu,we mwanaume mwenzangu ila comments zako huwa nazifuatilia.dezaini flani mtu wa no nonsense.mtu akizingua hujali hata hisia zake.
Yani wewe sio wale wenzetu wa kulialia kisa mapenzi.
 
Ila mkuu,we mwanaume mwenzangu ila comments zako huwa nazifuatilia.dezaini flani mtu wa no nonsense.mtu akizingua hujali hata hisia zake.
Yani wewe sio wale wenzetu wa kulialia kisa mapenzi.
Basi tu,wanawake ukishawajulia hawakuumizi akili mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…