kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
Mimi alisema kwasababu nimegoma kukaa naye sogea tuishiMi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Unampotezea tu huyo alikuwa na mpenzi mwingineAlikuwa hajib sms zangu na alikuwa hanitfti had nimutfte nikaona yey syo aliyekamilka
Sikimbuki kama nishawahi kuachwa. Mimi nikiona red flag au kosa moja linajirudia baada ya kutoa onyo huwa na-withdraw interest zote kwenye hayo mahusiano halafu demu mwenyewe ndio atajiongeza kwamba haitajiki tena.Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Kauli nyepesi ni tayar alikuwa kwenye mahusiano mengine huku akiwa na wewe.Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Wala hujakosea na ilikuwa ni hivyo hivyl kweli hujakosea kabisaKauli nyepesi ni tayar alikuwa kwenye mahusiano mengine huku akiwa na wewe.
Huyo boy mwengine alimpenda zaidi yako na seems like huyo jamaa alijua kama ana date na wewe hivyo akataka demu wako achague moja.
Mim natumiaga mfumo dume wenye hekima kwenye mahusiano mapema kabisa ili anijue mapema ,asije akasema nimebadilika kwenye ndoaKwenye mahusiano usimpangie mwenzio hela yake afanyie nini kazi yako ni ushaurii tu asiposikiliza usilazimishe hayo mambo yanalazimishwa kwenye ndoa tu
3 tuMshedede wa maana unaanzi nchi ngapi 😂😎✌️
Nchi tatu si filimbi 🤣🤣🤣3 tu
Ndo inatosha kwa shemeji yakoNchi tatu si filimbi 🤣🤣🤣
Ndugu yangu nitafute nikupe dawaNdo inatosha kwa shemeji yako
Ahahahahahahahahahubahili. aisee me pesa sitoi
Shtuka wewe she is using you kama toilet paper. Man unakuaje manipulated kirahis namna hii???Eti nikinunua Prado ndio nimfuate, IST ni umama kisa yeye anaela zaidi. Nachoshanga akiwa na hamu zake ananipigia utasikia naomba nilete kitu Fulani, mara ninaumwa niletee dawa ukienda kwake anani seduce mpaka mkumbushiane bàada ya hapo mnapotezeana zaidi ya mwezi. Inaniboaga sana hii
Miez kadhaa iliopita na mimi nilikua kama wewe exactly. Boooomm!! Tumekua ma-ex 😂😂😂😂Nadhani mimi ni moja ya watu wachache duniani ambao hawana X, mke wangu ndio mwanamke wa kwanza kumtongoza.
Hivyo sijawahi achwa wala sijawahi kukataliwa.
SawaMim natumiaga mfumo dume wenye hekima kwenye mahusiano mapema kabisa ili anijue mapema ,asije akasema nimebadilika kwenye ndoa