jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,869
- 10,181
DAh maisha haya mie nliachwa kisa bishooMi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Japo na yeye madhaifu yake yalikua mengi yakuvumilika,. Lakini mdomo wangu kwakweli kuuvumilia na ujuaji ilibidi lazima tuachane tu maana ni kaziSafi sana kwa kujitambua na hongera kwake kakusaidia sana kukuweka sawa japo hampo pamoja
Mwanaume anaanzaje kuachwa?Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Mwanaume ukiachwa basi ujue una matatizo ambayo hata huyo dem haweza kukwambia.Kama hujawahi achwa sawa
Demu anakuambia una kibamia afu unakuta yeye ndo wale wasambazaji wa upendo kwa wanakijiji 🔥Gentleman,
hiyo inawezekana kabisa,
kwasababu kwa mabinti wa dar kama huna mshedede wa maana, Lazima uisome namba, labda umkute kachoka show za nje 🐒
Sijaona tatizo hapo, labla kama akipata hizo pesa kutoka huko kwenye vikundi anazipeleka pasipojulikanaMimi nilimkimbia baada ya kugundua ela ya matumizi kuna kiasi hua anachepusha na kuipeleka ktk vikoba na vile vikundi vya kina mama wenzake
mama cha wote,Demu anakuambia una kibamia afu unakuta yeye ndo wale wasambazaji wa upendo kwa wanakijiji 🔥
🤣🤣🤣Kakuona hutaki hela wewe ukiwa sisiem lazima uwe fisadii😀
Mbona tunaachwa sana tu. Kuacha au kuachwa ninkwa yeyote yuleMwanaume anaanzaje kuachwa?