sehemu nyingi Tanzania magari yanapishana, milimani, mabondeni, kwenye kona n.k lakini hakuna mahali panapovutia ajali zaidi kama Kibaha why?
Dogo yuko right kabisa... umeweka kwenye jukwaa la siasa!!! Politicizing everything may not be the best thing!!!
...hakuna mahali panapovutia ajali zaidi kama Kibaha why?
In order to win scientific argument and implement the result you need a political will.
Hii inaweza kuwa imekaa vizuri tu katika jukwaa hili kwani sisi wanasayansi tukificha mambo kwenye kisayansi zaidi si wote wangependa kufuatilia ila mkiletewa katika siasa watu ni kibaaao.
Mwanakijiji yupo sawa kwani hata kichwa cha habari ni swali na si hoja. Hivyo basi toa mchango wako na kama utahitaji utafiti wa kisayansi zaidi mada itatupiwa huko.
hapo kwenye PINK hapo nitapafanyia kaziagreed, but political will is totally different from scientific analysis;
You can never ever discuss or tackle a scientific problem simply by putting it into a political forum.
- they yield different results
- one is a process, the other is just a buy-in
- political will could be a statement or motivation but scientific evidence or analysis dig deeper to the issue
- political will is a result of good scientific analysis and presentation that convince
- Reasoning and will are two different thing
eniwei, back to discussion na mimi nawapa ya kwangu sasa kuhusu ajali ya jana
lile eneo linaua sana na wakazi wengi wa kibamba wanaamini kwamba kuna nguvu za giza (another scietific observation by ordinary people); inasemekana vifo vingi hutokea pale na katika vifo vyote huwa hakuna damu inayobaki hata ajali iwe grissy vipi. wenyeji walishawahi kufanya maombi (madhehebu zote) na ajali zikapungua ila this time walijishahau na imetokea... FYI, jana tu palikua na ajali ndogo mbili on the same spot!!
that is my bushdoctor scientific coin
hiyo ni red au pink? au mavaluu asubuhi yote hii!hapo kwenye red hapo nitapafanyia kazi
wewe ndo umejua leo?wabongo.. tuna kazi!!
Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is there any scientific reason for these occurrences that our rulers have overlooked?
Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na nina uhakika siyo cha kishirikiana lazima kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.
VERY CLOSE TO THE FACT!sijaona ''sihasa'' kwenye hii analysis yako.ni ukweli mtupu.Wakuu, eneo la kuanzia Luguruni mpaka kibaha yenyewe, lina miteremko na milima kama nane hivi, barabara imetengenezwa bila kufuata safety issues, kuna kona kwenye miteremko kama minne hivi, Hata ni mambo ambayo yangeweza kuepukika. kwani waliotengeneza, waliofanya sijui umbembuzi yakinifu hawakuweza hata kutumia chembe ya busara, achilia mbali taaluma walizonazo.
Tungepata picha ya hilo eneo ingetusaidia kujadili swali hili kisayansi zaidi
4. [B said:Driver Behavior:[/B]
Tabia ya madereva wa magari ya mizigo na madereva wa magari ya abiria sometime inakuwa ni ya uhasama kama si ushindani. Sometime dereva wa gari kubwa anaona gari lake liko slow sana lakini anakuwa mgmu kupisha gari dogo liwai na safari. Sometime pia Dereva wa gari yenye kasi anakuwa na haraka sana ya kupita gari kubwa hata sehemu isiyofaa.
noted.VERY CLOSE TO THE FACT!sijaona ''sihasa'' kwenye hii analysis yako.ni ukweli mtupu.
....HALAFU PIA,Je, kuna sababu ya msingi ya Highway kupita katikati ya mji?
Je, kuna sababu ya msingi ya Highway kupita katikati ya mji?
Wakuu, eneo la kuanzia Luguruni mpaka kibaha yenyewe, lina miteremko na milima kama nane hivi, barabara imetengenezwa bila kufuata safety issues, kuna kona kwenye miteremko kama minne hivi, Hata ni mambo ambayo yangeweza kuepukika. kwani waliotengeneza, waliofanya sijui umbembuzi yakinifu hawakuweza hata kutumia chembe ya busara, achilia mbali taaluma walizonazo.