Access Bank TZ, nikimeo kipya bongo

Standard Chartered Bank bado ipo isipokuwa wameuza portfolio ya wateja wadogo wadogo binafsi.
 
Acha uduwanzi, kama hakujiandaa kwanini msisubiri..
 
Banki yenu hii ni
Ya hovyo sana.
Bank yenu ni ya hovyo sana. Hampo organized kabisa. Tumesha wahi nunua bank nyingi tuu , lakini wateja hawaja wahi kupata usumbufu kama wa accesa bank tanzania. Leo tarehe 26 bado watej hawawezi kupata huduma.

Zaidi hakuna taarifa yeyote mmetum kwa wateja kuwaomba radhi wasubiri, mmekaa na mmeridhika.

Kisha kuna panya inakuja hapa eti, wateja tuna wenge kwa sababu tuu , unaogopa kibarua chako cha laki 2 kwa mwezi kisije kikakuponyoka, stupid.

Wateja ndio tunakuweka mjini bro.
 
Acha uduwanzi, kama hakujiandaa kwanini msisubiri..
kisubiriwe nini sasa ikiwa benki ya kigeni inafunga shughuli zake nchini inataka kuondoka..na benki ina amana zenu inafanya utaratibu mwema wa kuhamisha amana zenu benki nyingine mnaona mnacheleweshwa na vipi kama wangeondoka zao juju kwa juu ungemlilia nani..mtu mwenyewe ww eti unajiita tabutupu unaonesha ni jinsi gani ulivyo na dhiki na njaa na uliyejaa shida na ukute hata huko benki akaunt uliyonayo ina elfu 90 tu si uchoko huo na hiyo mikelele yako tuliza kipago ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…