Access bank ni lini mtafungua tawi la bank dodoma

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Aman itamalaki

Najua mnamatawi mwanza na dar sasa je kwanini dodoma hamna tawi

Mimi nilifungua account mwanza lakin sasa niko dodoma pesa zangu zangu nalala nazo ndan kama demu kwa sababu ya uzembe na upuuz wenu

Ni lini mtafungua tawi dodoma


Mayala B
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom