Access Bank: kwa waliofanya Final Interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Access Bank: kwa waliofanya Final Interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Barraza, May 24, 2012.

 1. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  naomba kujuzwa kama kuna ambaye ameshapewa taarifa za kuajiriwa. kwa wale waliokwenda kufanya final interview kwenye Branches. Hii nafasi nikiikosa kuna uwezekano wa kufikiria kufanya ujambazi, hali inazidi kuwa ngumu na ajira hazipo na mtaji wa biashara unasumbua na motisha za kujiajiri hakuna.
   
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mlikuwa kama wangapi kwenye branch uliyopangiwa.
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hahahaha.we are sailing under the same boat.hii kitu mwenyewe nlikuwepo mpaka ktk group interviwe ila kwa bahat mbaya cjaitwa ya branch ila kuna mshkaji wangu kafanya ya branch leo temeke anadai ni full michosho coz wanauliza maswali ya kukomoana sana.tofauti na interview za HQ.ila ndio maisha yalivyo.
   
 4. I

  Islam Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  duuuuuh!...pole yangu mi niliridhika na interview ya Msimbazi..kumbe watu wanagonga tu ma intaview zaidi!!!!......Daaaah..NCHI HI NGUMU!!!.Ndo mana wanawake wanakuwa Malaya wanaume wanawaza kwenda ulaya!
   
 5. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  nilifanikiwa kufikia level ya Branch interview ila ndiyo sijajua kama majibu yameshatoka ama la. pale tulikuwa kama watu ishirini kama sikosei
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  haha mngejua iyo benk kila cku wana ajira na kila cku watu wanacha so ukiona hujaitwa usiumie moyo kabisa wala ucjutie u luz nthng kwa kukosa kaz acces! Fanyen uchunguz mtaelewa nachosema.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  they want Low bugdet labourers......think
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kila mlango mmoja unapofungwa tambua kuna milango zaidi ya kumi inafunguka pia, Nadhani si sehemu sahii unayotaka kwenda, nilipita kwenye hiyo bank lakini mungu alinisaidia nikaondoka.
   
 9. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,928
  Likes Received: 1,856
  Trophy Points: 280
  many more we have to suffer
  many more we have to die
  dont ask me why...
  Things are not the same like the way,they usd to be,i dont tell no lies...
   
 10. m

  misszilipendwa New Member

  #10
  Sep 4, 2015
  Joined: Aug 17, 2015
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuwa na imani na Mungu wako atajibu kilio chako, kukata tamaa ni kosa kubwa sana katka maisha
   
Loading...