Access Bank imekuja kutuumiza

Access Bank imekuja kutuumiza

Una uhuru wa kuchagua mabenki yanayotoa mikopo ni mengi sio lazima uende kwao
Mkuu hii lugha ni hatari sana japo siyo kwako bali kwa mwenye hiyo benki.
Tatizo linalotukumba watanzania tulioajiriwa hatujui waliotuajiri wanapata wapi
fedha za kutulipa mishahara,laiti tungejua tungeheshimu wateja wa matajiri
zetu walete biashara,ili tuendelee kupata mishahara.
 
Nilikopa 5m rejesho likawa 565,000 kwa miezi 12

Hao jamaa wanakupa mkopo ndani ya siku tatu na masharti ni.rahisi sana ila mwanangu kasheshe uje uchelewe kurejesha hata masaa tu utakoma!!
 
nilikopa 5m rejesho likawa 565,000 kwa miezi 12

hao jamaa wanakupa mkopo ndani ya siku tatu na masharti ni.rahisi sana ila mwanangu kasheshe uje uchelewe kurejesha hata masaa tu utakoma!!

riba hapo ni kama 36% duu si mchezo
 
amekiri amefeli kwn kilimo? lini hiyo? manake cjaiskia ningecheka sana! lakn kilimo c ndicho kilichompa uprof? kama ni kweli aibu kwa wachina waliomtunuku uprof

Mkuu vp mbona uko opposite na maada mkuu...au viroba na jua kali ...dah nenda kwanza kale mkuu
 
niliyemjibu kanielewa. ww ndo umekunywa viroba huku umelala juani.
 
1433939970647.jpg 1433939970647.jpg
amekiri amefeli kwn kilimo? lini hiyo? manake cjaiskia ningecheka sana! lakn kilimo c ndicho kilichompa uprof? kama ni kweli aibu kwa wachina waliomtunuku uprof
Hii hapa
 
Mi nimekopa hapo mara tatu mashariti ni nafuu na kwa marejesho sijawahi kukwaruzana nao kwani narejesha kwa mda muafaka mkopo umenisaidia kuirejesha biashara yangu katika ramani baada ya kuyumba mara ya kwanza nilikopa 2000000 na mara ya pili 3000000 na sasa nimevuka hapo ni kweli marejesho yanaumiza na kama kuna namna ya kupata bank nafuu zaidi na yenye masharti nafuu nitahama ila kwa sasa naiheshim hii bank kwani ilinisaidia sana wakati sikuwa na namna
 
badoo

mkuu, hakuna atakayekusikiliza. mabenki mengi yanamilikiwa na mafisadi na yanalenga kuwaumiza wanyonge usijekuta benki hiyo inamilikiwa na Chenge au Tibaijuka.
 
Last edited by a moderator:
Access credit officer hawana lugha nzuri, wanajistress sana kwenye kudai marejesho, matokeo yake wanaiona kazi ngumu na mzigo. Hawana staha kabisa wanapiga usiku wa manane etc.
Ni vyema taasisi za kifedha zikawajenge uwezo mzuri wa kudeal na wateja. Hawajui kutofautisha kati ya late repayment ambazo zipo kwenye mkataba na viwango vya faini pamoja na mtu aliyedefault. Umechelewesha siku moja au masaa unatukanwa na vitisho kibao. Ovyo sana haka kabenki niliacha kukopa siku nyingi.
 
Mabenki yote Mkuu yanaumiza ile mbaya kupitia riba ingawa yanatofautiana! Kwa ufupi Mkuu karibu huku CRDB "the bank that listens" u-enjoy maisha ya kukopa!

Huku unakopa 5m unarejesha 5.9m kwa maana ya 18% interest! Kurejesha wala hupigiwi simu mpaka zipite siku kadhaa bila kuweka hela kwenye akaunti!!

Nyinyi wafanyabiashara wa kati na wadogo hamuwajali kabisa,kuna kipindi nilitaka mkopo...nikazinguliwa
 
kinachotokea Access ni hv ukihitaji mkopo kwao masharti ni nafuu mno na unaupata fasta,sasa watu wengi huwa hawaangalii kabisa kuhusu riba,ukija kushtuka..tayari....washatoboa spika...inakoroma tu

Hahahah....inakoroma
 
Kuna taasisi inaitwa tujijenge hao jamaa ni mbwa kabisa ukichelewa siku.moja riba ni 10,000 kwa siku
Na ukienda na pesa pungufu wanakufungia ofisini hadi ukamilishe kama hujaenda kabisa ndio wana charge teni
 
Huyu jamaa naona labda ana sababu zake binafsi na hawa jamaa. Hiyo sio kweli kabisa. Mimi nilikopa M 4 nikalipa 5 na laki kadhaa kwa mwaka mmoja. Maana Kila mwezi Nilikua nalipa Laki 4 na nusu. Sasa usitake kusema uongo hapa kwa sababu ambazo hazipo. Sema kama walikunyima mkopo sasa unakuja kuwakandia hapa. Hakuna bank ya rahisi kupata mkopo ambao hauna masharti magumu kama access
 
jiungeni na vicoba vinasaidia sana
 
amekiri amefeli kwn kilimo? lini hiyo? manake cjaiskia ningecheka sana! lakn kilimo c ndicho kilichompa uprof? kama ni kweli aibu kwa wachina waliomtunuku uprof

Mkuu Wachina hawakuwa kwenye kilimo bali pua zao zilinusa gesi huko Mtwara mbwembwe zote ni kwa ajili hiyo.
 
BOT(Benki Kuu) wao kimyaaaa,wanaachia kila Bank ichezee kichwa cha mwendawazim.
Na siku hizi kumefumka,Wazungu wenye vipesa vya upatu kuja kuanzisha vibenki uchwara humu kila siku na kupata mkopo Kutoka BOT kinyemela.
 
Kinachosemwa ni kweli. Nilikopa sh. 3,000.000. Lkn nitarejesha Mil 4.5. Sijui waTz nani katuloga jamani.
 
Back
Top Bottom