Kuna taasisi inaitwa tujijenge hao jamaa ni mbwa kabisa ukichelewa siku.moja riba ni 10,000 kwa siku
Na ukienda na pesa pungufu wanakufungia ofisini hadi ukamilishe kama hujaenda kabisa ndio wana charge teni
Tujijenge ilianzishwa na wafanyakazi wa Finca baada ya kuwaibia sana,,,Pesa zenyewe wanazokopesha wameiba Finca halafu wanawasumbua wateja wake hivyo ?