Access Bank Calls... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Access Bank Calls...

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by john8719, Mar 26, 2012.

 1. j

  john8719 Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF, kwa wale waliofanya written interview pale Access Bank siku ya jumamosi tar 24/03, vipi wameshaanza kupiga simu kwenda kwenye second interview?.
   
 2. S

  Suby Mushi. Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhan yo 2 fast mkuu c juz 2 mmefanya? Hold'on ht wik ipte, o meckia tetec zozote?
   
 3. j

  john8719 Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nilikuwa group la pili kufanya interview, wakasema kuanzia j3 yaan leo watawapgia watu simu.
   
 4. c

  conversant Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama ni nafasi za loan officers....mmmmh! mtapita hiyo interview but mtakuwa surprised kwenye information session karibu nusu hawatopenda kuendelea na hao jamaaa. nendeni mkashuhudie wenyewe sitaki maswali.
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Access wana matatizo si bure, haiwezekani wawe wanaajiri kila siku...
   
 6. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hao jamaa wana masharti makali plus kamshahara kadogooooo,kazi kuuuubwaaaa,utatafuta loan seakers mpaka ukome
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Inawezekana hawa jamaa ofisi zao zinatanuka kwani kasi yao ya kuajiri ni kubwa mno.
   
 8. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  hahahaa bila shaka maana kila cku wao tu!
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acces bank na barclays bank hapafai kufanya kaz ya loan oficer ni nouma, barclays nliacha hawafai.
   
 10. A

  Akida kaka Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  accessbank hapafai nilikua hapo kama loan officer nakaacha. mshahara mdogo kazi kubwa, hawajali wafanyakazi kabisa. ndio maana kila wakati wanatangaza nafasi kwani wengi wanaingia na kutoka mara moja baada ya kuona mazingira ya kazi.
   
 11. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  laki 3 kwa mwez dsm?!? hapo makato bado!
   
 12. b

  babacollins JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanatanuka kwenda wapi mzee?Mbona hatuoni tentacles?!!!
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  jibu hili hapa chini!
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mi nilivyoona wanaajiri sana nikajua kuwa wanaongeza branches zao mara kwa mara, kumbe jibu kashanipa mdau hapo juu.
   
 15. G

  Green Apple Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh kwani loan officer ndo unatafuta loan seakers?tusaidiane maana nimeapply somewhere as loan officer nijue km ndo kuungua juani wakuu
   
 16. l

  lukundo_kagongo New Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ni jukumu la loan officer kutafuta wateja mwenyewe.ingawaje zipo bank na taasisi chache ambazo wateja hawatafutwi na afisa.na mara nyingi ni mikopo ya wafanyakzi.lakini ya wafanya biashara ni juu yako afisa
   
 17. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimependa comment mojawapo hapo juu, "Mshahara Njiwa, Kazi Tembo"
   
 18. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  loan officer inategemea na Bank, bank kama NMB, CRDB utakuwa unakula kiyoyozi i.e wateja wanajileta wenyewe ila kwenye hizo bank kajamba nani kama Access,Barclays,Habib, dar community utazurura na jua kali hadi soli ya viatu vitatoboka.
   
 19. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiulize MACHUNGWA MUHEZA,ndo mahali pake!!
   
Loading...