Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,901
- 5,629
Imesaidia mataifa na si taifa pekee, huyo aliwahi kutumia wizara tofauti nchi hi unauliza imesaidia nini taifa?Hiyo elimu yake inaisaidia vipi hili taifa?
Watu kama nyinyi mnasema hivyo wengi wenu, ila mkiteuliwa na hao mnaowaita Form four failure mnaufyata mkia kama mbwa koko.MTU MWENYE ELIMU HAWEZI KUPELEKESHWA KSSENGE NA FORM FOUR FAILURE KUFANYA MAAMUZI YA KIMAAMUMA.
KI MSINGI MIGIRO AME PROVE A POINT KWAMBA SHE IS JUST AN EDUCATED FOOL.
Mmoja ni Jitihada binafsi Mwingine ni mbelekoLeo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
Hao UN wenu nao ni takataka tu,ni huku kwenye vi nchi vyenu vya kiboya ndio mnaowachukulia UN seriously ila wanaojichambua wote hawana muda na huo umoja wa kipuuzi.Umoja wa mataifa
kwani kwa uelewa wako unafikiri mtu akiwa waziri basi ni mtu mmoja very smart au very resourceful.huyo aliwahi kutumia wizara tofauti nchi hi unauliza imesaidia nini taifa?
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibuMnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibuHakuna haja ya kuibua vimisamiati vya kiingereza ili kumpamba mnyika, huyo dogo ni kilaza na alidisco chuo...
Usimlinganishe dr migiro na uchafu uchafu wa tecdema...
Na kule chadema kuna matatizo makubwa sana ambayo hayana mwisho.
Angekuwa TO asingefeli chuo! Ht hivyo ni aibu kufananisha watu km hao, ni utovu wa adabu! Hv vijana wa chadema mmezaliwa jalalani?Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
Sikio huwa Linazidi kichwa?Me sitaki chochte ninachotaka ni kuona mabdiliko upi ni utofauti wangu mimi diploma holder wa chuo cha serikali Tanzania na yeye mnufaika wa western education ambayo inasemekana ni bora sana kuliko ya kwangu utofauti huo uwe ni either mchango wa moja kwa moja kwa jamii au mchango wa kimawazo ni hilo tu tofauti na hapo sitachelea kusema elimu iyo si kitu kwani haina tija.
Imagine vinyl tapes without phonograph
NB:Member joined yesterday😂
Ni msomi wa elimu mbali mbaliDokita Samuya kidato cha nne alipata daraja gani?
Basi tumfananishe na dr samiaAngekuwa TO asingefeli chuo! Ht hivyo ni aibu kufananisha watu km hao, ni utovu wa adabu! Hv vijana wa chadema mmezaliwa jalalani?
DuuhJizi na lipenda rushwa linachangia bila aibu
Kamuulize Tito Magari au MwijakuAngekuwa TO asingefeli chuo! Ht hivyo ni aibu kufananisha watu km hao, ni utovu wa adabu! Hv vijana wa chadema mmezaliwa jalalani?
Ndio, Mnyika mwenyewe aliwahi eleza hili kuwa kuna mgomo ulifanyika akiwa 3rd year na sababu yeye ndio ali husika kwenda kuwatuliza wanafunzi both chuoni na mabibo, basi ikawa translated kuwa yeye ndio alikua organiser na hivyo akafukuzwa na sio kufukuzwa tu bali alikuwa blacklisted kusoma chuo chochote kile duniani.Ni kweli?;
Duuh duniani?Ndio, Mnyika mwenyewe aliwahi eleza hili kuwa kuna mgomo ulifanyika akiwa 3rd year na sababu yeye ndio ali husika kwenda kuwatuliza wanafunzi both chuoni na mabibo, basi ikawa translated kuwa yeye ndio alikua organiser na hivyo akafukuzwa na sio kufukuzwa tu bali alikuwa blacklisted kusoma chuo chochote kile duniani.
So kumalizia degree yake ni mpaka CCM itoke madarakani.
Kumbe jamaa ana ushawishi toka kitambo sanaNdio, Mnyika mwenyewe aliwahi eleza hili kuwa kuna mgomo ulifanyika akiwa 3rd year na sababu yeye ndio ali husika kwenda kuwatuliza wanafunzi both chuoni na mabibo, basi ikawa translated kuwa yeye ndio alikua organiser na hivyo akafukuzwa na sio kufukuzwa tu bali alikuwa blacklisted kusoma chuo chochote kile duniani.
So kumalizia degree yake ni mpaka CCM itoke madarakani.
Form Four (1998) Maua Seminary John John Mnyika alipata division 1 ya point 7, huku akiwa na A (tisa)9, kati ya masomo 10 aliyofanya.Hivi mnyika aliwahi kuwa T.O wa Tanzania?
CCM hawana huruma mkuu. Nakumbuka wale mawakala wa UKAWA waliokamatwa wakijumlisha matokeo ya urais nchi nzima (Tallying center) walifungiwa kuajiriwa serikalini au kusoma vyuo vya Tanzania MILELE!! yaani walikua blacklisted indefinitelyDuuh duniani?
Hzo kauli kawambie tecdema wanaokula tonetone.Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibu
Na wewe unapatikana kwenye hivyo vinchi au upo mbinguni?Hao UN wenu nao ni takataka tu,ni huku kwenye vi nchi vyenu vya kiboya ndio mnaowachukulia UN seriously ila wanaojichambua wote hawana muda na huo umoja wa kipuuzi.
Ndio maana hata huyo Naibu Katibu Mkuu wenu hana tofauti na wajinga wengine ndani ya Chama walioishia darasa la saba D