Academic supremacy: Migiro vs Mnyika

Hivi mnyika aliwahi kuwa T.O wa Tanzania?
 
Sasa migiro na masetifiketi yake Ana mchango gani ndani ya nchi zaidi ya kubebwa tu kama gunia la kande? Ndo maana Ban ki moon aliona mzigo akautua tu, haya wakampeleka ubalozini kafanya nini zaidi ya kutumikia tumbo, tangu karudi sisiemuni juzi tu kaonekana alipotumwa amtangaze nchimbie! Keshazeeka na kupitwa na wakati akalee wajukuu kule! Kwanza elimu ya kimagharibi haijawahi kumbadilisha mbongo, bora genzee angalau wana kauthubutu kdg cha kuhoji sio hii mizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…