Acacia Yatutangaza Vibaya Duniani, Yadai Tanzania Kuna " risks to the safety and security of people"!, Mwekezaji Gani Ata Invest Kwenye Such Risks?!.

Mbaya zaidi na sijui kama ina ukweli. Ni kuwa mikataba hii haiwezi kuangaliwa upya au kurekebishwa, mpaka ipete miaka 60 kati ya miaka 100 ya mkataba .
POOR WE
 
Mbona unaandika maneno mengi yasiyo na mwelekeo kama mkia wa mjusi uliokatwa?
Barrick/accasia wezi wamekuibia nini?walishirikiana na nani?ushahidi unao?

NB: UKINYWA MAJI YA BENDERA NDO UFAHAMU NAO UNAPOTEA?
 
Comment ya aina hiyo ilitegemewa..

Hawategemewi kufurahia hali baada ya makanikia na ripoti zake..

TIC hawajawahi kosa wa kuwahudumia..

Watu wanawekeza Syria ndio iwe Tanzania ambayo amani imejaa Tele?
 
Paskali sitakuacha hata siku moja upotoshe watu juu ya siasa na mfumo wa uchumi wa nchi yetu Accacia ni wafanya biashara kama walivyo wengine ukishindwa biashara usimtukane muuzaji na hta kama utamtukana muuzaji wapo watakaokupuuza na watanunua hivyo usiwe mnyonge na ukajirahisi kwa hofu kwamba tutakosa wawekezaji ukitaka kupata jibu la hilo nenda viwanda na biashara utaona ni wangapi wanaomba kuwekeza kwenye secta ya madini kwa kufuata sheria zote za Tanzania. Zaidi ya yote siri ya accacia walizoe kuiba ndiyo maana wanapiga kelele sana akili ya kuambiwa changanya na ya kwako Bwana Mayala usijikombe sana kwa wazungu jivunie mali zako pia kuwa mzalendo usitetee wakoloni wametupiga vya kutosha kwakuwa tuliwapa watu nafasi wenye akili na mawazo kama yako TPX JIHADHALI TPX NAFUTIKA
 
Mbona unaandika maneno mengi yasiyo na mwelekeo kama mkia wa mjusi uliokatwa?
Barrick/accasia wezi wamekuibia nini?walishirikiana na nani?ushahidi unao?

NB: UKINYWA MAJI YA BENDERA NDO UFAHAMU NAO UNAPOTEA?
KAMA HUJUI WALICHOKIIBA UNAONGEA UPUUZI WAKO WA NINI HAPA???
 
Mbona unaandika maneno mengi yasiyo na mwelekeo kama mkia wa mjusi uliokatwa?
Barrick/accasia wezi wamekuibia nini?walishirikiana na nani?ushahidi unao?

NB: UKINYWA MAJI YA BENDERA NDO UFAHAMU NAO UNAPOTEA?
If your brains were a dynamite they wouldn't even blow your head off.
Hivi hata kufikiri kitu kidogo kwamba kampuni kubwa kufanya kazi bila leseni ni wizi nalo umeshindwa ?
Kweli wewe ni Kunguru na akili zako zimesinyaa kama Scrotum za nyani mzee. Wewe ni moja kati ya majitu ya hovyo kabisa niliyowahi kuyaona hapa jukwaani.
 
Wamekuibia nini? Je sasa hivi wameacha kuiba?
UNALETA UKASUKU WAKO
 
We endelea kukariri kama kasuku na Iyo professorial and presidential rubbish report.
 
We endelea kukariri kama kasuku na Iyo professorial and presidential rubbish report.
I am very far beyond this crap, way far my friend. Mimi haya ya Barrick/Accaccia nimeanza kuyasikia hata kabla ya Jakaya na Magufuli hawajaingia Ikulu. Sasa nyie endelezeni Ukunguru wenu wa kushabikia kila ujinga mkidhani mnamkomoa Magufuli. Pia endeleeni kuwaza ujinga kwamba kila anayepinga Barrick/Accacia basi ni mwana-CCM au timu Magufuli.. Mtachelewa sana kufika...!

Wewe ni lijinga kabisaa........
 
Ugonjwa ukiwa mwilini siunakunywa dawa wewe binadamu ili wadudu wa malaria wafe nawewe upone. Kama mtu anamahela Barbados anahonga kila mtu situ deal nae moja kwa moja shida iko wapi?
 
Nina swali nauliza hivi lissu na MO Wana mahusiano yoyote ya kimaslahi na hii kampuni maana Kuna kitu nakiwaza hapa
MO alikuwa kawaleta wachina kununua migodi ya Acacia na Tundu lisu yeye ni mtetezi wa haki kati ya Serikali na Acacia hataki yeyote apunjwe ingawa Serikali kwa masilahi yake wametengeneza porojo nyingi na propaganda nyingi za kupotosha watanzania
 
Acha ushamba huko sio kujikomba wala hakuna anayetetea wakoloni na umepigwa na nani? Walaumu waliingia mikataba na hao wazungu kwani hao Acacia hawachimbi madini kienyeji bali ni kwa mujibu wa mikataba ya Serikali ya mkapa na kikwete, kuvunja mikataba kishamba shamba kifala fala ndiko wananchi wenye Uelewa kuliko wewe hawataki na ndicho Tundu Lisu alikitaka wakae chini wairejee mikataba itizamwe upya iandikwe upya kulingana na mazingira ya kisasa, Mayala yupo sawa hataki mambo yenu ya kukurupuka kisha yaje kama yale ya meli za samaki, ndege kuzuiwa huko Canada, kunbuka mikataba ya madini imerekebishwa kipindi cha mkapa akala vyake na kikwete alipoingia ikulu na yeye akarekebisha mikataba upya akapiga chake na huyo mtukufu wa chato kaja na njia zake ili na yeye apige humo humo lakini mbinu zake zina mapungufu ndiyo maana zimekuwa zikileta maneno na migogoro mingi huku wachambuzi wakosoaji wakienda kupigwa Risasi na akina Heri kisanduku hiko Dodoma, na tambua kuwa watanzania wengi wanaijua Sinema ya Acacia A-Z wapo wamelia wanaangali Movie inavyokwenda.
 
Mbaya zaidi na sijui kama ina ukweli. Ni kuwa mikataba hii haiwezi kuangaliwa upya au kurekebishwa, mpaka ipete miaka 60 kati ya miaka 100 ya mkataba .
POOR WE
Hayo matango pori alitulisha Lowasa hiyo mikataba ni ya kawaida na haina usiri wowote hata humu jf ilishawekwa kuna ule wa karamaji ulikuwa na typing error wakawa wanausahihisha kwa bic
 
Mayala huu ndiyo Ukweli ingawa wapo vilaza humu tena wengi wakiwa ni CCM watakupinga bila hoja au kwa mifano ya kijuha juha, Hakuna Siri kuwa Acacia walifanya kazi zao kwa mujibu wa mikataba waliyoingia na Serikali ya Tanzania chini ya kikwete na kama kuna mapungufu wa kulaumiwa au kubeba lawama zote ni kikwete, mbinu ambayo ilifaa kumaliza tatizo ilikuwa ni kukaa na wanasheria wazuri kisha kuipitia mikataba yao vizuri kwa umakini mkubwa na wakarekebisha mapungufu yote ndipo mengine yangeanzia hapo, lakini kukaa kupiga kelele tumeibiwa mara hivi huku Acacia wapo kiimya wakitunga sheria ni ujinga, ni wakati wananchi wajitolee kubuni namna nzuri ya kumlaliza tatizo badala ya kutengeneza Bomu ambalo litakuja kuigharimu Taifa baadae endapo wajinga wajinga wataendelea kumshauri vibaya mtukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…