IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,819
....Very well said mkuu. Kwenye uchumi huwa hawana maskhara, ikiwa wameivuruga Iraq and Libya for economical reasons watashindwa huku?Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.
Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app