Una uhakika..nenda buzwagi ukaone barrick wamekuachia nini na faida iliyopatikana kwa wenyeji wa hapo na nchi..kisha uje kasi huku kama nyumbu aliyekoswa koswa na mamba
6.9% of total labour forceHivi unemployment rate ya awamu hii ni kiasi gani? Cause high unemployment rate in repercussions nyingi sana
Hivi makinia yanalipa kuliko mawe yenyewe eeh?
Wazalendo watasema hizo ni collateral damage za kupambana na wizi wa rasilimali zetu, maana ile stori ya kuwa wenye maisha magumu walikuwa wauza mihadarati na wanufaika wa uwizi inaanza kupoteza maana.
Tunapowaita jina la yule mnyama mnakasirika lakini ndio asili yenu.
MCHANGA HAUNA FAIDA SASA INAKUWAJE HAMUWEZI KUENDESHA SHUGHULI BILA MCHANGA
FANKUUUUUUUROOOOOO KWENDENI TU WHITE PIGS
*** stamigold ilioua mgodi wa tulawaka in 2 years na madeni kibao ya wakandarasi na wazabuni pamoja na kuachiwa na ABG kila almost kila kitu, process plant, drill rigs na heavy trucks. Acheni utani kwenye issue izi.Hao 2000 huenda wakaajiriwa na STAMICO
Tusidhani kuendesha mgodi ni sasa na kuendesha kituo cha afya**** stamigold ilioua mgodi wa tulawaka in 2 years na madeni kibao ya wakandarasi na wazabuni pamoja na kuachiwa na ABG kila almost kila kitu, process plant, drill rigs na heavy trucks. Acheni utani kwenye issue izi.
Apo ndio kila mtu atajua kua yaliyokua yanasafirishwa kama Maknikia si mchanga ila ni dhahabu. ..apo mtu akpga hesabu ya mda yaliyosafirishwa ndio watajua kua kulkua na wizi zingine zote ni stor apo lakini kikubwa hawa jamaa wanalilia kusafirisha Maknkia kitu ambacho haitakaa kitokee tena Kiwanda cha uchenjuaji cha apa Tanzania kinajengwa kwa kasi sana kama ni mchanga ngoja wachenjulie apa tuwabane vizuri. ..yote hiyo ni pressure wanatoa kwa kamati ya majadiliano lakini kila kitu kina madhara yake ni kweli kutakua na un employment ila tukiweka katika mizani bora un employment itokee lakini tulinde mali za Watanzania kwa ajili ya vizazi vya sasa na baadae watakuja wawekezaji wengne wataajiri number kubwa zaidi ya hiyo lakin kwenye win win situation. ...wazungu wasanii sana huwezi kumpunguza mtu kazi eti baada ya apo ndio mjadili malipo...wanatakiwa wajue Kiongozi wanayedeal naye si wa kutishwa kama walizoea huko nyuma si sasa na washauri wao wanawapotosha hao Accacia. ..walianza na matamko kama yule waziri wa habari wa sadam,wakafeli sasa wamekuja na ili...pia ata ili watafeli. ...et wanasema wamepunguza watu dn watakaa kujadili malipo wakat kinachoanza ni makubaliano dn redundas ktk ajira..wasitishe watu..wamewapa staff wao likizo ili kutoa pressure kwa serikali...ACCACIA wana optn mbili tu waache wizi warudi kwenye mstari au wafungashe viragoSi mlisema makenikia hayana dhamani..vipi tena mbona mnafunga mgodi..au mzee amewashika pabaya.
Wametuibia vya kutosha aisee wacha waendee tu maana hatuwezi kuwa na wawekezaji wanao tuibia.Tusidhani kuendesha mgodi ni sasa na kuendesha kituo cha afya
Waliachiwa mashmo si mgodi**** stamigold ilioua mgodi wa tulawaka in 2 years na madeni kibao ya wakandarasi na wazabuni pamoja na kuachiwa na ABG kila almost kila kitu, process plant, drill rigs na heavy trucks. Acheni utani kwenye issue izi.
Hiyo inaitwa kama mmbwai ni mmbwai tu .Hili nalo changa ina maana kuzuiwa kwa hayo makinikia yenye dhahabu 3% ndio kufanye hizo 97% zilizobaki zishindwe kulipa wafanyakazi?!