nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
katika hizo wanazopata unajua wanatulipa shilingi ngapi?Aiseee, kumbe wanapata hela nyingi sana na wanalipa kodi kiduchu, wafunge tu na waondoke maana hakuna namna
katika hizo wanazopata unajua wanatulipa shilingi ngapi?Aiseee, kumbe wanapata hela nyingi sana na wanalipa kodi kiduchu, wafunge tu na waondoke maana hakuna namna
Acha kutishia nyau yaache yasepe hayo MAJIZI alaaSo what you henchmen
Accasia ina turnover kubwa kuzidi combined GDP ya nchi yako! You think they care much about loosing this if their interests are in danger? No. They have to invest elsewhere !
Who is going to be the looser ?
Business is always mutual, win win for both sides! No bullying. Clean your house first!
And all will forgive and forget Tanzania! Go with the Chinese like what Zimbabwe did and face the music!
Who the hell cares!
Wachina hawana teknolojia ya kuchimba dhahabu ya mgodi wa Bulyanhulu. Serikali ya China iliyaomba makampuni ya America, Ulaya na Australia mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuchimba dhahabu yake nchini China. Toka wakati huo China ndiyo mzalishaji mkuu wa dhahabu Duniani lakini makampuni yanayochimba siyo ya China.Washazoea kutuibia ,,,.sasa wanaona wanafanya kazi bure!!!
Waende tu Chinese wanasubiri kwakwa hamu hiyo fursa
Si kwamba sheria zetu ndio ziliwaruhusu 'kutuibia' au sio viongozi wetu waliowaruhusu kutuibia kwa maslahi yao binafsi?Wafunge tu, tutapata wawekezaji walio na uthubutu wa kufuata sheria zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. hebu nipe yupi ni yupi, halafu nipe foundation au basis ya mikataba ya Barric na Acacia inayohusu madini hapa tanzania. Hii itasaidia kufahamu ni yupi aliyetuhumiwa kutokuwa na leseniWalioitwa kwny mazungumzo n barrick mkuu ambayo wamesajiliwa kihalal na ndo wanamilik share kubwa, muwe mnapinga kwa facts bas, syo kubwabwaja tuu coz flan kaongea.
Hamul
Kwa mara ya kwanza nakuona umekomenti bila kuingiza itikadi za kisiasa....hongera sana kamanda.Aiseee, kumbe wanapata hela nyingi sana na wanalipa kodi kiduchu, wafunge tu na waondoke maana hakuna namna
Usidanganyike. Hakuna mwekezaji wa kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu kwa sheria zetu za sasa. Bulyanhulu is an underground mine, by then with one of the most sophisticated technology. Kosa dogo wafanyakazi wote watakaokuwa chini watakuwa hawana maisha.Wafunge tu, tutapata wawekezaji walio na uthubutu wa kufuata sheria zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wafanyakazi tu bali pia mifuko ya fedha ya kijamii (wafanyakazi wa Acacia ndiyo wachangiaji wakuu), TANESCO (Acacia ndiye mteja mkuu na malipo yake hutosheleza mishahara ya wafanyakazi wote wa TANESCO), pia TRA (PAYE), wakandarasi na wafanyakazi wao (ndiyo kampuni yenye wakandarasi wengi kuliko kampuni yoyote - hapo yataathirika makampuni, TRA, wafanyakazi), Makampuni za Cement (Bulyanhulu ndiyo mgodi unaotumia cement nyingi kuliko mgodi wowote Tanzania). Madhara siyo madogo. Lakini pia watatushinda tu mahakamani. Kupanga ni kuchagua. Kwa kuwa tumechagua umaskini, nadhani tutautumikia kwa mioyo mikunjufu.
Wao walikosea nini?Tulikosea nao walikosea - meza ya mazungumzo ni suluhu nzuri
Waache waondoke tutachimba wenyewe na kwa kuwa migodi ni Yetu haina tabuUsidanganyike. Hakuna mwekezaji wa kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu kwa sheria zetu za sasa. Bulyanhulu is an underground mine, by then with one of the most sophisticated technology. Kosa dogo wafanyakazi wote watakaokuwa chini watakuwa hawana maisha.
Hakuna kampuni ya nje itakayoanzisha mgodi wa madini Tanzania, kwa sheria ya sasa. Wanaoweza kuendelea ni hawa tu ambao tayari wana migodi, hawana namna itabidi wajivutevute ili kurudisha gharama zao.
Sheria mpya: 16% government free shares (Botswana ownership yao, serikali hulipia), 7% loyalty (Dunia nzima, Zimbabwe pekee yake inayotoza kiasi hicho; na hiyo ni kama 25-35% ya net profit), 30% corporate tax, halafu leseni siyo yako, ni mali ya serikali. Lazima uwe mjinga kweli kuwekeza kwenye masharti ya namna hiyo. Uwekeze mabilioni huku ukijua mwenye leseni anaweza kuamua chochote wakati wowote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba kabisa, hata sasa sisi mi Maskini, kama mbwai na iwe mbwai, lazima tuwanyooshe hata kama tunatoa machozi, acha wanaume wenye uthubutu tupambane hatuwezi kuwa dormant miaka yoteSiyo wafanyakazi tu bali pia mifuko ya fedha ya kijamii (wafanyakazi wa Acacia ndiyo wachangiaji wakuu), TANESCO (Acacia ndiye mteja mkuu na malipo yake hutosheleza mishahara ya wafanyakazi wote wa TANESCO), pia TRA (PAYE), wakandarasi na wafanyakazi wao (ndiyo kampuni yenye wakandarasi wengi kuliko kampuni yoyote - hapo yataathirika makampuni, TRA, wafanyakazi), Makampuni za Cement (Bulyanhulu ndiyo mgodi unaotumia cement nyingi kuliko mgodi wowote Tanzania). Madhara siyo madogo. Lakini pia watatushinda tu mahakamani. Kupanga ni kuchagua. Kwa kuwa tumechagua umaskini, nadhani tutautumikia kwa mioyo mikunjufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nadharia yako haifanyi kazi kwenye mambo ya kibiashara. Barrick na Acacia kuna mikataba ya jinsi ya kuendesha mambo yao kisheria. Na ndiyo maana Acacia mwanzoni kabisa walisema watakachokubaliana Barrick na serikali ni lazima kwanza KIRIDHIWE na Acacia!Wewe ndiye zezeta kwa sababu uneshindwa kuelewa kuwa Rais Magufuli hakuongea na ACACIA bali aliongea na Barrick Gold.
Kwa mfano, baba yako akiongea na mtu anayedai umeiba kwenye duka lake na baba yako akaahidi kuwa nitakulipa tukikaa na kukubaliana baada ya kugundua amekuibia.
Wewe mtoto wakati huo unadai hujaiba na unataka ushahidi wakuonyeshe kama umeiba.
Hawakusema hayana faida bali walisema hayana thamani hiyo inayotajwa na serikali!Ule uongo wao kua makanikia hayana faida upo wazi