ACACIA: Tutafunga mgodi kama hakutakuwa na makubaliano hadi kufikia Septemba

Duh...... Kumbe Noah zetu zimeota mbawa?

Nimeukumbuka ule msemo unaosema ukiwa mwongo jitahidi kutunza kumbukumbu........
 
Tanzania has accused Acacia, one of the country’s largest private employers, of operating illegally and failing to pay billions of dollars of taxes; the company has denied the charges
Hapo ndipo urongo wa Magu na mazezeta wa lumumba unapodhihirika! Si mulituambia kuwa wamekubali kulipa? No wonder munainamishwa kusaini mikataba ya ajabu ajabu! Kumbe tatizo laweza kuwa Lugha!
Wewe ndiye zezeta kwa sababu uneshindwa kuelewa kuwa Rais Magufuli hakuongea na ACACIA bali aliongea na Barrick Gold.

Kwa mfano, baba yako akiongea na mtu anayedai umeiba kwenye duka lake na baba yako akaahidi kuwa nitakulipa tukikaa na kukubaliana baada ya kugundua amekuibia.

Wewe mtoto wakati huo unadai hujaiba na unataka ushahidi wakuonyeshe kama umeiba.
 
Pamoja na kuyasema hayo, Mkurugenzi wa ACACIA, Brad Gordon amesisitiza kuwa majadiliano ya Barrick Gold na Serikali ya Tanzania yatawashangaza wengi kwa sababu ana matumaini makubwa pande zote mbili zitakubaliana kutokana na ukweli kuwa kila upande una mengi ya kupoteza kama hawatakubaliana kwa kupitia meza ya majadiliano.

Hata hivyo anasikitika kwa kampuni yake ya ACACIA kuachwa kuingizwa kwenye mazungumzo na anadai kama pande mbili zitakuwa hazijakubaliana kufikia septemba inawabidi wafunge mgodi ili kupunguza mrundikano wa makanikia na gharama za utunzaji.

Ikumbukwe kuwa majadiliano yatahusu Barrick Gold na Serikali ya Tanzania kwa sababu Barrick Gold ndiye mwenye hisa nyingi.

Matokeo ya Ijumaa yameonyesha kuwa mapato kwa miezi sita yameshuka mpaka $176 milioni kutoka $318 mwanzoni mwa mwaka kwa sababu hawawezi kuuza makanikia yenye ounces 127,000 za dhahabu na unga.

Kwa muda wa miezi sita mpaka Juni, mapato yameshuka kwa asilimia 22 na kuwa $391.7 milioni wakati faida kabla ya kodi ilishuka kwa asilimia 2 na kuwa $99.5 milioni.

Hisa zimeendelea kudondoka na kuanzia Machi hisa za ACACIA zimedondoka kwa asilimia 50 na bei ya kampuni kwa sasa iko chini ya £1 bilioni.

Kwa wale mnaojua kiingereza mnaweza kusoma zaidi;

Source: Financial Times Newspaper.
So what you henchmen
Accasia ina turnover kubwa kuzidi combined GDP ya nchi yako! You think they care much about loosing this if their interests are in danger? No. They have to invest elsewhere !
Who is going to be the looser ?
Business is always mutual, win win for both sides! No bullying. Clean your house first!

And all will forgive and forget Tanzania! Go with the Chinese like what Zimbabwe did and face the music!

Who the hell cares!
 
Kampuni amabayo haijawahi fanyiwa usajili leo inatambulika na kuitwa kwenye mazungumzo! sijui imesajiliwa lini
Walioitwa kwny mazungumzo n barrick mkuu ambayo wamesajiliwa kihalal na ndo wanamilik share kubwa, muwe mnapinga kwa facts bas, syo kubwabwaja tuu coz flan kaongea.

Hamul
 
Wafukie tu mashimo kamaitawabidi kuondoka, wasituachie mahandaki.

Nafikiri tutajifunza kuweka mambo sawa na kuwa makini toka mwanzo wa jambo. Vilevile ubabe na majigambo havisaidii sana hata kama upo sahihi.
 
Wewe ndiye zezeta kwa sababu uneshindwa kuelewa kuwa Rais Magufuli hakuongea na ACACIA bali aliongea na Barrick Gold.

Kwa mfano, baba yako akiongea na mtu anayedai umeiba kwenye duka lake na baba yako akaahidi kuwa nitakulipa tukikaa na kukubaliana baada ya kugundua amekuibia.

Wewe mtoto wakati huo unadai hujaiba na unataka ushahidi wakuonyeshe kama umeiba.
kwa nini wewe huwa huna akili, mbona unawapa hasara wazazi wako. Miezi tisa wanatoa kitu cha hivi! Badilika!
 
Back
Top Bottom