ACACIA: Tutafunga mgodi kama hakutakuwa na makubaliano hadi kufikia Septemba

maharage ya nazi

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
344
250
Hawa wazungu walikuwa wajanja sana barrick gold hawa ndio walikuwa wamiliki wa kwanza halafu wakamuuzia acacia ambao ndio hao hao barrick(wenye 67% hisa kwa makaratasi) wakati wakikwepa kodi ya serikali kwa jina la acacia. Mzee Magu kawashikia pabaya naona uhalisia ukatoka vizuri barrick akitaka kuwa msuluhishi....hahaha inaonekana ndio hao hao wamiliki wa acacia.

Safi sana Magu hapo umewaweza. Wasituchanganye na makampuni mengi mara acacia mara barrick. Hiyo yote ni kampuni moja tu barrick gold.
 
Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,138
2,000
Waende tu Chinese wanasubiri kwakwa hamu hiyo fursa

Kwa hiyo Chinese ndiyo watakuja kuwafanyia biashara siyo? Hiyo fallacy kwamba Chinese are better! Chinese are the worst. They are in fact the most aggressive! They are over 1/3 of the world's population. They aren't going to come and invest for the sake of Tanzania's prosperity.

Ukitaka kuwafahamu wachina, nenda kaangalia wanachofanya kwenye uchimbaji wa shaba Zambia.
Na umesahau jinsi walavyofanya kwenye Bandari ya Bagamoyo eh!!

Tatizo kubwa lipo kwenye utengenezaji wa sheria na mikataba ya madini. Na siyo aina ya mwekezaji. Na hili tatizo sioni likiisha chini ya CCM, chama cha majizi, yanayolindwa na kukingwa yasiongelewe!
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,189
2,000
Siyo wafanyakazi tu bali pia mifuko ya fedha ya kijamii (wafanyakazi wa Acacia ndiyo wachangiaji wakuu), TANESCO (Acacia ndiye mteja mkuu na malipo yake hutosheleza mishahara ya wafanyakazi wote wa TANESCO), pia TRA (PAYE), wakandarasi na wafanyakazi wao (ndiyo kampuni yenye wakandarasi wengi kuliko kampuni yoyote - hapo yataathirika makampuni, TRA, wafanyakazi), Makampuni za Cement (Bulyanhulu ndiyo mgodi unaotumia cement nyingi kuliko mgodi wowote Tanzania). Madhara siyo madogo. Lakini pia watatushinda tu mahakamani. Kupanga ni kuchagua. Kwa kuwa tumechagua umaskini, nadhani tutautumikia kwa mioyo mikunjufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
usikute washauri hawajampa hizi facts mkuu,
vitu vingi vitaathirika,
hata kama wananchi watapewa kuendesha hiyo migodi hawawezi,
hizo cost tu kuzicover hawawezi,pia technology ya uchimbaji mkubwa kama huo hatuna,

anyway hayo mahandaki yatatufaa kutumia kama nuclear bomb shelter
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,285
2,000
Nchi ambayo haiheshimu sheria na mikataba, kamwe haiwezi kuwa na uwekezaji. Mwekezaji makini hawezi kujenga kiwanda Tanzania. Unaandaa msingi, sheria imebadilika, unajenga ukuta sheria imebadilika, unatengeneza paa sheria imebadilika, unaingiza mitambo sheria imebadilika, n.k., n.k. Nchi za hivyo huwa zinavutia uchuuzi na siyo uwekezaji.

Kwenye uchuuzi, unaagiza bidhaa China, wakibadilisha sheria, ukiona mbaya, unaacha kuagiza. Tunaimba viwanda lakini mazingira yetu ni ya kuzuia ujenzi wa viwanda na kuvutia uchuuzi.

Awamu hii hatutapata hata kiwanda kimoja cha kiwango cha kiwanda cha cement cha Dangote. Tutapata wajenzi wa viwanda vidogo kama vya juice, toilet papers, sabuni, garage, n.k. lakini siyo viwanda vikubwa toka kwa wawekezaji makini. Mazingira yetu ni ovyo sana.

Meiboki

Member
Jul 18, 2017
58
125
Ni TZ tu utakuta serikali inasema moja na kesho inasema kitu hicho hicho mbili. No consistency
 
YusuJo

JF-Expert Member
Apr 10, 2016
538
500
Pamoja na kuyasema hayo, Mkurugenzi wa ACACIA, Brad Gordon amesisitiza kuwa majadiliano ya Barrick Gold na Serikali ya Tanzania yatawashangaza wengi kwa sababu ana matumaini makubwa pande zote mbili zitakubaliana kutokana na ukweli kuwa kila upande una mengi ya kupoteza kama hawatakubaliana kwa kupitia meza ya majadiliano.

Hata hivyo anasikitika kwa kampuni yake ya ACACIA kuachwa kuingizwa kwenye mazungumzo na anadai kama pande mbili zitakuwa hazijakubaliana kufikia septemba inawabidi wafunge mgodi na kusubiri hatma ya majadiliano ili kupunguza mrundikano wa makanikia na gharama za utunzaji.

Ieleweke kuwa majadiliano yatahusu Barrick Gold na Serikali ya Tanzania kwa sababu Barrick Gold ndiye mwenye hisa nyingi.

Matokeo ya Ijumaa yameonyesha kuwa mapato kwa miezi sita yameshuka mpaka $176 milioni kutoka $318 mwanzoni mwa mwaka kwa sababu hawawezi kuuza makanikia yenye ounces 127,000 za dhahabu na unga.

Kwa muda wa miezi sita mpaka Juni, mapato yameshuka kwa asilimia 22 na kuwa $391.7 milioni wakati faida kabla ya kodi ilishuka kwa asilimia 2 na kuwa $99.5 milioni.

Hisa zimeendelea kudondoka na kuanzia Machi hisa za ACACIA zimedondoka kwa asilimia 50 na bei ya kampuni kwa sasa iko chini ya £1 bilioni.

Kwa wale mnaojua kiingereza mnaweza kusoma zaidi;

Source: Financial Times Newspaper.

Nahisi tunatakiwa kuwa makini sana kama nchi namna ya kuendelea na suala hili. Kama inawezekana tutafute hata a mining consultant ambaye atakuwa ndiye focal person katika sula zima. I am afraid the whole issue is too technical to continue throwing blames on one side
 
aliisaac1000

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
407
500
kulu alisema jana wakichelewa kuja kwenye mazungumzo tutafunga mgodi. acacia nae jana hiyo walisema september bila makubaliano tunafunga mgodi. sasa ngoma inanoga hapa. watuachie tu madini yetu hamna namna
Source ya ujinga huu ni sisi wenyewe, hawa Barick hawakujileta walikuja tukawapokea tukawaambia kuleni bure bila hata kunawa, tunakumbuka shuka alfajiri, kama kujinyea tumejinyea wenyewe hivyo kila tulifanyalo tuwemakini, hasira na kukurupuka hakutasaidia kitu, hii dunia ya sasa ni ya utandawazi, haihitaji mabavu, bali werevu na umakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,605
2,000
Washazoea kutuibia ,,,.sasa wanaona wanafanya kazi bure!!!
Waende tu Chinese wanasubiri kwakwa hamu hiyo fursa
Unafikiri hao Chinese ndo malaika, hao ndiyo wezi wazungu hawafui dafu. Zubaa hapo.
 
aliisaac1000

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
407
500
Nchi ambayo haiheshimu sheria na mikataba, kamwe haiwezi kuwa na uwekezaji. Mwekezaji makini hawezi kujenga kiwanda Tanzania. Unaandaa msingi, sheria imebadilika, unajenga ukuta sheria imebadilika, unatengeneza paa sheria imebadilika, unaingiza mitambo sheria imebadilika, n.k., n.k. Nchi za hivyo huwa zinavutia uchuuzi na siyo uwekezaji.

Kwenye uchuuzi, unaagiza bidhaa China, wakibadilisha sheria, ukiona mbaya, unaacha kuagiza. Tunaimba viwanda lakini mazingira yetu ni ya kuzuia ujenzi wa viwanda na kuvutia uchuuzi.

Awamu hii hatutapata hata kiwanda kimoja cha kiwango cha kiwanda cha cement cha Dangote. Tutapata wajenzi wa viwanda vidogo kama vya juice, toilet papers, sabuni, garage, n.k. lakini siyo viwanda vikubwa toka kwa wawekezaji makini. Mazingira yetu ni ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbukeni kilichotokea Zimbabwe kwa kuwanyanganya wazungu Mashamba, leo hii zimbambwe ni maskini totoro na haina hata sarafu yake kwakua ilishapoteza thamani yake yote!, acheni kutafuta sifa kwenye majukwaa ya siasa, tutumie akili, busara na maarifa. Labda kama mnataka kuitoa hii migodi kwa Raia wakanda ya ziwa kwa gharama yoyote maana nchi hii sasa hivi kama vile inaanza kupoteza mwelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,605
2,000
kuongezea ni kuwa walitafuta mbinu kuwahonga watu wa kamati ila wakashindwa na ndiyo maana hawawezi kuwa sehemu ya mazungumzo
Jaribu kuwa mkweli, walitaka kuhonga? Hamna sheria, Takukuru hawapo? Elewa Barrick ndo wenye leseni, Acacia ni kampuni tanzu ya Barrick, so in that case they are. "Third Party".

Tatizo watu wanaandika kiushabik zaidi kuliko kiuhalisia.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,605
2,000
Usidanganyike. Hakuna mwekezaji wa kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu kwa sheria zetu za sasa. Bulyanhulu is an underground mine, by then with one of the most sophisticated technology. Kosa dogo wafanyakazi wote watakaokuwa chini watakuwa hawana maisha.

Hakuna kampuni ya nje itakayoanzisha mgodi wa madini Tanzania, kwa sheria ya sasa. Wanaoweza kuendelea ni hawa tu ambao tayari wana migodi, hawana namna itabidi wajivutevute ili kurudisha gharama zao.

Sheria mpya: 16% government free shares (Botswana ownership yao, serikali hulipia), 7% loyalty (Dunia nzima, Zimbabwe pekee yake inayotoza kiasi hicho; na hiyo ni kama 25-35% ya net profit), 30% corporate tax, halafu leseni siyo yako, ni mali ya serikali. Lazima uwe mjinga kweli kuwekeza kwenye masharti ya namna hiyo. Uwekeze mabilioni huku ukijua mwenye leseni anaweza kuamua chochote wakati wowote!

Sent using Jamii Forums mobile app
7% Loyalty: Nafikiri ni 7% Royalty.
 
Jun 14, 2017
74
125
what hell is that , go to hell ACACIA ..tumechoka kuibiwa pasipo sababu yaani kazi ya Tanzania ni kujenga miji ya nchi zenu huku kwetu African hasa Tz mnatuaachia mashimo tu ..tena MR president fukuza wezi hawa tena bila hata hiyo press conference yao ya kipuuzi yaani wanatishia huku wanajuwa kabisa wameshaibia sana nchi, hakuna mji hata mmoja walioujenga kutokana na faida ya haya madini , Natamani kuona MH ukifunga kabisa hii migodi ya hwa mabepari (WHITE MAN)
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,032
2,000
Aiseee haya bana hivi si walisema mazungumzo yanaanza sijui kesho kutwa... kumbe hiyo kesho kutwa haijafika hadi leo
Wazungu ujawajua tu mkuu ? Hamna mazungumzo hapo jamaa alishafanya dili na waliopita sasa huyu msukuma nae anataka parefu kwa mgongo WA raia wake kunyonywa hapo ndipo Kuna utata. Muda utaongea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom