ACACIA: Tutafunga mgodi kama hakutakuwa na makubaliano hadi kufikia Septemba

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
12,897
2,000
So what you henchmen
Accasia ina turnover kubwa kuzidi combined GDP ya nchi yako! You think they care much about loosing this if their interests are in danger? No. They have to invest elsewhere !
Who is going to be the looser ?
Business is always mutual, win win for both sides! No bullying. Clean your house first!

And all will forgive and forget Tanzania! Go with the Chinese like what Zimbabwe did and face the music!

Who the hell cares!
Acha kutishia nyau yaache yasepe hayo MAJIZI alaa
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,285
2,000
Washazoea kutuibia ,,,.sasa wanaona wanafanya kazi bure!!!
Waende tu Chinese wanasubiri kwakwa hamu hiyo fursa
Wachina hawana teknolojia ya kuchimba dhahabu ya mgodi wa Bulyanhulu. Serikali ya China iliyaomba makampuni ya America, Ulaya na Australia mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuchimba dhahabu yake nchini China. Toka wakati huo China ndiyo mzalishaji mkuu wa dhahabu Duniani lakini makampuni yanayochimba siyo ya China.

Hakuna kampuni ya Africa au China inayoweza kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, HAIPO.

Pia hakuna kampuni ya China inayoweza kuchimba gas kwenye deep sea, haipo. China bado ipo nyuma sana katika teknolojia ya uchimbaji madini, gas na mafuta.

Kampuni ya China ndiyo iliyonunua advanced project ya utafiti wa dhahabu kule Tanga. Wakatumia mamilioni ya dollar, wakatoa ripoti kuwa kuna dhahabu karibia ounces milioni 8. Wakaja wataalam kuhakiki, ikaonekana kuna dhahabu aounces laki 7 tu! Mradi ukaishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,021
2,000
Walioitwa kwny mazungumzo n barrick mkuu ambayo wamesajiliwa kihalal na ndo wanamilik share kubwa, muwe mnapinga kwa facts bas, syo kubwabwaja tuu coz flan kaongea.

Hamul
Ok. hebu nipe yupi ni yupi, halafu nipe foundation au basis ya mikataba ya Barric na Acacia inayohusu madini hapa tanzania. Hii itasaidia kufahamu ni yupi aliyetuhumiwa kutokuwa na leseni
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,285
2,000
Wafunge tu, tutapata wawekezaji walio na uthubutu wa kufuata sheria zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganyike. Hakuna mwekezaji wa kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu kwa sheria zetu za sasa. Bulyanhulu is an underground mine, by then with one of the most sophisticated technology. Kosa dogo wafanyakazi wote watakaokuwa chini watakuwa hawana maisha.

Hakuna kampuni ya nje itakayoanzisha mgodi wa madini Tanzania, kwa sheria ya sasa. Wanaoweza kuendelea ni hawa tu ambao tayari wana migodi, hawana namna itabidi wajivutevute ili kurudisha gharama zao.

Sheria mpya: 16% government free shares (Botswana ownership yao, serikali hulipia), 7% loyalty (Dunia nzima, Zimbabwe pekee yake inayotoza kiasi hicho; na hiyo ni kama 25-35% ya net profit), 30% corporate tax, halafu leseni siyo yako, ni mali ya serikali. Lazima uwe mjinga kweli kuwekeza kwenye masharti ya namna hiyo. Uwekeze mabilioni huku ukijua mwenye leseni anaweza kuamua chochote wakati wowote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
10,285
2,000
Wafanyakazi wa jiandae kuisoma namba,.. Jaman karibu ni mitaan

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wafanyakazi tu bali pia mifuko ya fedha ya kijamii (wafanyakazi wa Acacia ndiyo wachangiaji wakuu), TANESCO (Acacia ndiye mteja mkuu na malipo yake hutosheleza mishahara ya wafanyakazi wote wa TANESCO), pia TRA (PAYE), wakandarasi na wafanyakazi wao (ndiyo kampuni yenye wakandarasi wengi kuliko kampuni yoyote - hapo yataathirika makampuni, TRA, wafanyakazi), Makampuni za Cement (Bulyanhulu ndiyo mgodi unaotumia cement nyingi kuliko mgodi wowote Tanzania). Madhara siyo madogo. Lakini pia watatushinda tu mahakamani. Kupanga ni kuchagua. Kwa kuwa tumechagua umaskini, nadhani tutautumikia kwa mioyo mikunjufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bartaizo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
236
225
Hawakutarajia ujio wa Magufuri walizani bado wako kwenye utawala wa Kikwete

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,189
2,000
Barrick na Acacia wanawachanganya vichwa na kujifanya kuwa wako tofauti,
ni techinic tu ya kuwavuruga,
kimsingi wameshaona hakutakuwa na makubaliano iwapo serikali itashikilia kulipwa trilion 108 inazodai wameibiwa,
hiyo ndo maana hawana haraka ya kuleta timu ya kuzungumza,
wanacheza na sikolojia,
na huenda wanajiandaa kuondoka
 
bartaizo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
236
225
Usidanganyike. Hakuna mwekezaji wa kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu kwa sheria zetu za sasa. Bulyanhulu is an underground mine, by then with one of the most sophisticated technology. Kosa dogo wafanyakazi wote watakaokuwa chini watakuwa hawana maisha.

Hakuna kampuni ya nje itakayoanzisha mgodi wa madini Tanzania, kwa sheria ya sasa. Wanaoweza kuendelea ni hawa tu ambao tayari wana migodi, hawana namna itabidi wajivutevute ili kurudisha gharama zao.

Sheria mpya: 16% government free shares (Botswana ownership yao, serikali hulipia), 7% loyalty (Dunia nzima, Zimbabwe pekee yake inayotoza kiasi hicho; na hiyo ni kama 25-35% ya net profit), 30% corporate tax, halafu leseni siyo yako, ni mali ya serikali. Lazima uwe mjinga kweli kuwekeza kwenye masharti ya namna hiyo. Uwekeze mabilioni huku ukijua mwenye leseni anaweza kuamua chochote wakati wowote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache waondoke tutachimba wenyewe na kwa kuwa migodi ni Yetu haina tabu

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
shybubu

JF-Expert Member
Oct 30, 2016
515
500
Siyo wafanyakazi tu bali pia mifuko ya fedha ya kijamii (wafanyakazi wa Acacia ndiyo wachangiaji wakuu), TANESCO (Acacia ndiye mteja mkuu na malipo yake hutosheleza mishahara ya wafanyakazi wote wa TANESCO), pia TRA (PAYE), wakandarasi na wafanyakazi wao (ndiyo kampuni yenye wakandarasi wengi kuliko kampuni yoyote - hapo yataathirika makampuni, TRA, wafanyakazi), Makampuni za Cement (Bulyanhulu ndiyo mgodi unaotumia cement nyingi kuliko mgodi wowote Tanzania). Madhara siyo madogo. Lakini pia watatushinda tu mahakamani. Kupanga ni kuchagua. Kwa kuwa tumechagua umaskini, nadhani tutautumikia kwa mioyo mikunjufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba kabisa, hata sasa sisi mi Maskini, kama mbwai na iwe mbwai, lazima tuwanyooshe hata kama tunatoa machozi, acha wanaume wenye uthubutu tupambane hatuwezi kuwa dormant miaka yote
 
Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
13,693
2,000
Wewe ndiye zezeta kwa sababu uneshindwa kuelewa kuwa Rais Magufuli hakuongea na ACACIA bali aliongea na Barrick Gold.

Kwa mfano, baba yako akiongea na mtu anayedai umeiba kwenye duka lake na baba yako akaahidi kuwa nitakulipa tukikaa na kukubaliana baada ya kugundua amekuibia.

Wewe mtoto wakati huo unadai hujaiba na unataka ushahidi wakuonyeshe kama umeiba.
Hiyo nadharia yako haifanyi kazi kwenye mambo ya kibiashara. Barrick na Acacia kuna mikataba ya jinsi ya kuendesha mambo yao kisheria. Na ndiyo maana Acacia mwanzoni kabisa walisema watakachokubaliana Barrick na serikali ni lazima kwanza KIRIDHIWE na Acacia!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom