Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,902
Tunachojuwa wezi, tulijuwa hivi siku nyingi bila ushahidi, mie sijali hata tuwalipe, ila tumewaumbuwa, waje na style zao za kiulaya ulaya za kukanusha na nini, ila ukweli ulionekana jana, tukae chini, tuongee nao, kama yalikuwa yakifanyika hivi toka nyuma mpaka leo wameiba kiasi gani?! Hapa waongee na TZ kiutu mzima yaishe, ila wizi umejulikana.
Aaaahh,
Na walipe hela zote walizotuibia. Na mchanga uchakatwe hapa home kwetu Tanzania .