ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

Tunachojuwa wezi, tulijuwa hivi siku nyingi bila ushahidi, mie sijali hata tuwalipe, ila tumewaumbuwa, waje na style zao za kiulaya ulaya za kukanusha na nini, ila ukweli ulionekana jana, tukae chini, tuongee nao, kama yalikuwa yakifanyika hivi toka nyuma mpaka leo wameiba kiasi gani?! Hapa waongee na TZ kiutu mzima yaishe, ila wizi umejulikana.


Aaaahh,
Na walipe hela zote walizotuibia. Na mchanga uchakatwe hapa home kwetu Tanzania .
 
Kujiuzulu kwa muhongo sio jibu la kupata billions of money zilizopotea, acacia and muhongo must face law. Ili pesa zetu zirudishwe. Kuvuliwa uwaziri is nothing ikiwa ana billions of money bank bado Rais hajafanya kitu.
Hv kosa la muhongo ni lipi? Ikiwa nae ameyakuta hayo madudu,mlitaka afanyaje? Km ni kuwajibika basi wanatakiwa kuwajibishwa mawaziri wote waliopita hapo kuanzia 1998 plus wale wote walioshiriki kusaini mikataba.
 
Yes,ninajua!Mchanga unaosafirishwa huingizia kampuni Trilion 1-1.8 kwa mwaka!Kwa hesabu za magufuli ni kuwa ni Trilion 18 kwa mwaka!Kama ndivyo basi mgodi huo unatakiwa uwe the largest gold mine in the world ukitumia takwimu,kitu ambacho sio kweli!




Mbele naona giza mkuu maana huo ndio utakuwa mgodi mkubwa duniani
 
PWC na SGS nao wapiga dili tu,km kweli PWC wapo makini mbona Acacia walikutwa na hatia ya kutolipa kodi kwy repatriated income since 2002???
SGS wananunulia na hao PWC wananunulia vizuri tu bila wasiwasi! Tena kuna fine wamepigwa huko marekani kwa kutoa unqualified opinion wkt kampuni inaelekea kibla! EY mwaka jana walipigwa fine ya dolla milion kumi na moja kwa kosa km hilo. Wasepe waache mchanga wetu hapa! Wajiulize km hamna madini zaidi ya hayo wanayo dai kg3 kwa nini share price zao zimezidi kuporomoka tangia mchanga uzuiliwe??
 
Unaonaje ukijifunza kutokana na yaliyotupata dowans, iptl, samaki. Badala ya kuangalia tulipoangukia turudi tulipojikwaa. Waliingiaje na walianzaje kusafirisha huo mchanga. Waliyopitisha hayo madudu wako wapi. Tuache nyimbo za maigizo.
Nyie ndio wale wale ambao bado mnaishi kwenye zama za kale.Tanzania mpya imepatikana,Mambo yamebadilika sasa wewe usiyetaka kwenda na biti unalia lia hapa.Wote waliofanya madudu watafikiwa tuu ni swala la muda tuu.mmoja baaada ya mwingine
 
Hv kosa la muhongo ni lipi? Ikiwa nae ameyakuta hayo madudu,mlitaka afanyaje? Km ni kuwajibika basi wanatakiwa kuwajibishwa mawaziri wote waliopita hapo kuanzia 1998 plus wale wote walioshiriki kusaini mikataba.
Ukiajiriwa unatakiwa uwe mbunifu na uweke process mpya,upendekeze mambo mampya,nk! Kosa lake hakua makini na hilo!business as usual ndio iliyo mkost,cheki huyu wa ardhi anakuja na idea nyingi tena sio msomi kabisaaa!
 
kwani tume ya mwakyembe na upuuzi wake wa richmond hawakuchunguza?hadi kesho unalipia hasara deni lililosababishwa na mwakyembe na tume yake na umeme unaendelea kutumia wa richmond
Mnyaa atachunguza
kwani tume ya mwakyembe na upuuzi wake wa richmond hawakuchunguza?hadi kesho unalipia hasara deni lililosababishwa na mwakyembe na tume yake na umeme unaendelea kutumia wa richmond
Mnyaa atachunguza nini ukiachilia mbali Mwakyembe aliyekuwa anamiliki kampuni ya kufua umeme wa upepo hivyo kuwa na maslahi binafsi kwenye tukio analolishughulikia, sasa utasema palikuwa na uchunguzi pale?!!!
 
Kama serikali ingekuwa imekurupuka, isingechaguliwa tume kufanya uchunguzi, au ungechaguliwa ww kwenye tume. Wale wataalam, au mlitaka wachaguliwe wazungu kweny tume ndio mgejua serikali haijakurupuka.
Haya hao wataalam wamesema kuna wizi ila wazungu wanadai taarifa zao ziko wazi basi sawa tusubiri nani ataumbuka mwishoni maana mambo ya sheria ni facts na vielelezo so ni muda tu ndio utakaoamua ila uzuri lisu amewashauri mapemaaaaa mje mshindwe wenyewe tu maana kila tukishauri mnasema tunapinga
 
Wametundanganya, kama nchi, rais na serikali yote kuwa mchanga hauna thamani.

Lazima walipe hela zote walizotuibia.
Huko sawa kabisa na mii nakubaliana na hilo. Wawajibishwe kwa kudanganya kama itathibitika pasipo na shaka. Ila kumbuka huwezi kutumia data za haya makontena 200 na ushee kama base ya claims zako, lazima uwe na twakimu za makontena yote tangu shughuli hiyo ianze, unazipata wapi? lazima uende maabara zilikopimwa na kule zinakofanyiwa extraction na mwisho utatumia twakimu walizokupatia. usifikiri hayo matrilioni yote ni yako kama hizo takwimu ni kweli. Utlipwa asilimia mliyokubaliana kwenye mkataba na hapo ndo kuna tatizo kubwa kweli kweli. Mikataba ni mibovu na kinyonyaji na inaweza kukutia hasira kweli kweli. Mahakama inatoa hukumu kwa evidences na mikataba na sio bla bla nyingine. wenzetu wanajua sisi wazembe so evidences za kutosha wanazo na sisi labda ni hizi za jana tu ndo sahihi, zilizobaki tutamuia evidence zao tu, upende usipende
 
Jamaa wamekuja.....

By Brad Gordon | Chief Executive Officer | Acacia Mining PLC

Response to this morning’s Press Conference and presentation of the First Presidential Committee’s report on the export of metallic mineral concentrates to the President of Tanzania.

Many of you would have seen this morning’s press conference held at State House at which the First Presidential Committee presented its findings on its investigation into the export of gold/copper concentrates.

The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate that it exports and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

We do not agree with the Committee’s findings which state that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar-es-Salaam port is more than 10 times the amount we declare. We are confident in the accuracy of our declarations which are checked and verified by SGS, which is one of the world’s largest testing companies. The concentrate we produce has some small variances, and each container has different declared quantities of concentrate, but we firmly believe that each container contains on average around 3,000kg of copper, 3 kg of gold and 3 kg of silver. Together, these metals are worth an average of Tsh300 million per container.

We are also a listed company with our accounts being audited extensively by PWC, which verifies that we are fully transparent in everything we do. The revenues we state in our audited accounts match the amount of gold that we declare we produce and sell. If the amount of gold in our concentrates was in line with the Committee findings, then it implies that both Bulyanhulu and Buzwagi would produce more gold than any other mine in the world. Sadly this is not the case.

I appreciate that when events like today happen it creates uncertainty and makes people question who to believe. I want to reassure you that Acacia fully declares everything of commercial value that we produce. We also pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce and that the exporting of the concentrate takes place in full compliance with Tanzanian law and the legal agreements that we have with the Tanzanian Government.

Whilst we have listened to today’s presentation and seen a transcript of the press conference, until we receive a copy of the full report it is difficult to comment on or reconcile the specific numbers and values attributed to Acacia’s metallic mineral concentrates by the Committee, but I repeat, we believe in the numbers we declare.

Whilst we await the report I will respond to one question about royalties that has been raised among the workforce. Under the mining act the Government receives royalties of 4% of the minerals of commercial value namely gold, silver and copper contained in the concentrates. Acacia has always paid the royalty and there is a robust audit trail to demonstrate this. Whilst there are other minerals contained in the concentrate, these are of no commercial value. This is due to the small quantities and the cost to extract them exceeds their value, and so no royalty is due.

Obviously today has been a difficult day for everyone at Acacia. I can assure you that we are doing everything we can to ensure that all of our stakeholders believe in the integrity of Acacia. We have fully declared everything that we produce and have done so since Barrick first entered Tanzania over 15 years ago. We have not cheated the country that we operate in and whose people make up 96% of our workforce. Please continue to work safely as that is the most important thing and I will continue to provide you with updates and hopefully clarity as we move through the coming weeks.


View attachment 513955
View attachment 513956
This is a common trickery scheme by multinationals practised in many developing countries. In any partnership, there must be a win-win situation but neoclonialists want all for their stomachs. I say NO. Tanzania must stand firm against these economic thieves.
 
Hv Tz kuna migodi mingapi? Manake hapa naona discuss iko kwa buzwagi na bulyanhulu tu. Vipi khs GGM, North mara je? Na mingine wao wahakuguswa? Maana ht ktk report jana sikusikia wakitajwa.
Kwamba wao wako safi?
 
Wengi wa tunaofurahia hatujui kinacho endelea

Siku Magufuli kayakamata makontena alisema ngoja wakayapime na matokeo yake yataishangaza dunia, ni kuwa kuna uwezekano haya matokeo yamepikwa
 
Mali Yetu na Sheria ni Zetu, Mtaji wa Kuazima
Kuna tofauti kubwa sana kama tungeenda kukopa mtaji tuchimbe madini wenyewe na mtu amekuja kwetu kuomba achimbe madini yetu kisha atulipe mgawo wetu. Hapo hatuazimi mtaji usitupotoshe.
 
Watanzania bwana kuna jambo moja hua mnasahau, nimemsikia mwenye nchi yake anapiga hesabu toka 1998 tumeibiwa kiasi gani cha fedha kwa kusafirisha mchanga nje, wakati huo huo mtanzania anashindwa kujiuliza kwani toka 1998 ni akinanani walikua wanaongoza hii nchi??? Walikua wanatunga sheria za hii nchi, akinanani walipaswa kuisimamia hii nchi isifike huko ilikofika??? Kama sio hawa hawa wamekuja na sura nyigine mwili uleule????

Yaaani nchi muiingize kwenye matatizo wenyewe tena makubwaaaaa, ya rushwa umasikni ufisadi wakutosha afu leo mnajitia inawauma sanaaaaaaaa, eti mmeumia mmeibiwa sana sasa imetosha, unafki wahali ya juuu!!

ivi uyu 1998 si alikua kwenye serikali kama waziri, nayeye alifanya nini????? Alishauri nini?? Kama alivyo mtumbua mhongo kwa maswali hayo kwamba alikua anafanya nini na yeye alifanya nini?? Eti kathubutu, kathubutu nini mfano!???kutuonesha chama chake kilivyo na watu weziiiiii?? Kilivyo shindwa kusimamia mali za nchi??? Afu mnapiga kelele mnaambiwa kabisa lichama na serikali yake ndio limefanya haya toka 1998 mnakenua!!! Haya Tunalipwa sasa?!!! Au nimwendo wa time na kamati kutoa ripoti kisha kutumbua na kutengua then miaka 5 kwishney nothing new??

Na Nyie vyombo vya usalama mlioambiwa mchumguze na kukamata walio husika kwenye hili msiishie hapo tu mchunguze wooote walio kua serikalini toka uhuru kwa kutuletea haya matatizo na myakamate kabisaaaaa yoote majizi yalioifikisha nchi hii hapa afu leo wanajifanya eti ni akina malaika wamekuja kutuokoa!!! Eti inawauma, inawauma nini??? Inawauma kushiriki udalali wakutuibia chini ya mwavuli wa lichama menu au???

Ujinga hii nchi bado upo mkubwa sanaaaaa!! Yaaani mvuruge wenyewe afu saiz mnajitia kutafuta mchawi!!!???

Wanapata high kujitekenya wenyewe, si ndio mambo ya siku hizi, maharage ni kunde, lakini mpishi ni yule yule, kila siku atuunguzie, tunabaki mimi na wewe, kunusa kilichounguzwa, soon tutakufa njaa!

The movie ndio kwanza, interval!
 
Na hii report ya Makomeo imedhihirisha kwa kiasi gani ni muongo wa kupindukia

i do agree with acacia to the large extent, unfortunately Makomeo is not that much transparent he has his personal interest on this process of which it will cost the entire country.

The contract was signed sometime back,....MNA UHAKIKA KWENYE MKATABA WAO, KUCHUKUA MCHANGA UNAOBAKI HAIKUWA PART OF MAKUBALIANO YAO???, na hata percentage ya leftovers he has just exaggerate it, as if we are capable of reprocess the remaining minerals.
 
Wataanzania tumerogwa na nani?

Mna amini maelezo ya accacia ndio valid source?

Hivi hamjui acaccia ni kama muwamba ngoma sasa wataachaje kujivutia kamba
 
Uchunguzi uliofanyika, kwa kiasi kikubwa ukiangalia presentation summary, umefanyika kienyeji sana, halafu tukakimbilia kutoa hitimisho.

Hii report kama tungeipata yote tungeangalia method iliyotumika, data statistical variability analysis, number of samples zilizochukuliwa, QAQC report ambayo pia ingeonesha intruments accuracy and human efficiency.

Nitashangaa sana, kama kweli kampuni kama Barrifk/Acacia wanaweza kufanya ujinga wa kiwango cha juu kama ulivyosemwa na Kamati.

Kwa jambo ambalo lina athari kubwa sana kwa stakeholders na industry nzima kama hili, kitaalam, samples zilitakiwa kupelekwa kwenye maabara angalao tatu ambazo zimehakikiwa kimataifa. Hatujui maabara gani iliyotumika.

Kuna wakati nimewahi kupeleka samples zangu maabara yetu ya kizalendo SEAMIC Dar, nilichokipata sikuamini, nikalazimika kupeleka SGS na ALS South Africa, majibu yakawa tofauti kabisa lakini maabara mbili za nje, majibu yalifanana.
 
Ukiajiriwa unatakiwa uwe mbunifu na uweke process mpya,upendekeze mambo mampya,nk! Kosa lake hakua makini na hilo!business as usual ndio iliyo mkost,cheki huyu wa ardhi anakuja na idea nyingi tena sio msomi kabisaaa!
Anyway kiufupi hiyo wizara ni ngumu tu kwsbb ina madudu mengi sana. Yahitaji moyo wa chuma kupambana maana Kuna either kupambana na system au wawekezaji km ilivyo sasa.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom